Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu,Pudit Kittithradilok 34,mmiliki wa Piramidi nchini Thailand akutwa na makosa ya utapeli na kuhukumiwa na mahakama miaka 13,000 jela. Pudit...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Hey wana JF. mwaka unaisha rasmi leo. Napenda kuwatakieni heri ya mwaka mpya 2018. Lakini ni vizuri kutafakari kuwa mwaka 2017 unaishaje? wapi ulikosea na hatimaye marekebisho yaweze fanyika ktk...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Jamani hivi watendaji na uongozi Dawsco mpo? Mnaona Dar es salaam nzima ukiondoa katikati ya jiji mabomba yanavuja hovyo.Angalieni Kimara, Sinza na Ununio. Serikali kwa kodi zetu imejenga bomba...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tulikubalia biashara ya kuniuzia gari aina ya spacio new model kwa sharti la kwamba ipelekwe Arusha kwa ajili kumaliza biashara akaomba deposit ya pesa ya mafuta kiasi cha laki moja na nusu...
4 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari za leo wanajukwaa, Husikeni na mada tajwa hapo,wanawake ni mama zetu,dada zetu,shangazi zetu,wake zetu,viburudisho vyetu na ni bibi zetu pia.Pamekuwepo na tabia ya baadhi ya wanaume wenzetu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Heri ya Jumapili wapendwa katika Jina la Bwana aliye Hai. Kutokana na dozi ya Konyagi ya jana nimeshindwa kwenda Kanisani nikaamua nisali kupitia Kipindi cha Tumwabudu Mungu kupitia TBC Taifa Fm...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ipo kwenye miji mikubwa hasa Dar, Mwanza au mingine yeyote ambayo wazazi wanakuwa busy sana kuzitafuta pesa huku wakiwaacha watoto wao wapendwa nyumbani wakiwa na ndugu,jamaa, majirani...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimefikiria statement moja ambayo ni mara nyingi tu husikika kutoka kwetu wanaume, especially baada ya kuulizwa kuhusu watoto wetu. Pale inapohitajika msisitizo kma kweli mtoto huyo ni wako, huwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona watendaji wa DAWASCO Mbezi Beach wanakuwa wazembe kiasi hiki kuna bomba la maji limepasuka Barabara ya Shule karibu na St, Aloysious Nursery & Primary School tangu Alhamisi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika Sura hii inaonesha ni kwa kiasi gani Bishop Zachary Kakobe alivyogonga vichwa vya habari vya media mbalimbali. Lakini pia serikali kupitia taasisi zake inaendelea kuonesha hali ya...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania?? kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Sisi ndio wanaume wa Dar, Wanaume wa dar hatutaki shida kabisa, si kwetu vitu mtelezo kama tunateleza kwenye ganda la ndizi ndivyo tunapenda na hapo ndipo tofauti yetu kubwa kati ya wanaume wa Dar...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia: 1.Mifereji huko Verdun (Ufaransa) baada ya kulimwa kwa mizinga mikubwa; 2. Ndege za kijeshi na faru za kwanza; 3. bunduki ya mtombo na manowari Ramani ya dunia...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Kadiri siku zinavyosonga idadi ya vijana wanao enda kwenye nyumba za ibada inazidi kupungua, hii ni hasa vijana wa miaka 19 hadi 36 sababu ya maana haieleweki na wanaohudhulia ni watoto na wazee...
3 Reactions
69 Replies
11K Views
Kiongozi wa dini kama atakuwa mfungwa wa mfumo hataweza kumwakilisha Yesu au dini yake bali ibilisi, kiongozi wa dini anapaswa kufanya haki na si kukaa upande mmoja. Taifa linapaswa kujifunza...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Nashauri Mamlaka ya TCRA kuboresha huduma ya mobile number portability ili mtu apatikane kwa namba moja tu, hata kama atakuwa nazo nyingi, ili nyingine zibaki ni sub numbers; Pia iweke utaratibu...
1 Reactions
4 Replies
689 Views
Lipo hili dubwana linaloitwa TANESCO,I have terribly bad experience with it, sijui ni mimi tu,I don't know.From kudaiwa hata bolts,mabomba nk.wakati wa kuwekewa umeme,kulaliwa bila kupata...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wale wadau wa kilaji cha Windhoek beer tukutane hapa. Tubadilishane mawazo namna ya kuianza 2018.nini kifanye kiongezwe nn kipungue. Kwa wale waliozoea bia za buku buku Naomba msichangie chochote...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii si dhambi kufanya hivyo ni ile hali tu ya kuzidiwa na mambo na kuchukuliwa kwenye ngoma yenye mirindimo mingi na kwa vile tuko ndani ya mduara hatuna budi kwenda na midundo ya mpigaji Kwenye...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…