thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,858
Habar wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,Pudit Kittithradilok 34,mmiliki wa Piramidi nchini Thailand akutwa na makosa ya utapeli na kuhukumiwa na mahakama miaka 13,000 jela.
Pudit amehukumiwa baada ya kuonekana kufanya utapeli katika kampuni yake ya uwekezaji ambao wawekezaji aliwaahidi kupata riba kubwa zaidi kwa mfumo wa kwamba kwa kila muwekezaji anavyoleta mteja mpya basi riba yake huongezeka kwenye mafao.
Mytake:Mchezo alohukumiwa nao Pudit unafanyika sana siku hizi mitandaoni,ya kwamba unajiunga sijui na vikorokoro gani then unavyoleta member mpya inakupandisha juu kimaslahi something which smell fishy,tuamke Watanzania tufanye kazi halali tule kwa jasho.
2018 vijana mpunguze kamari,na kutaka eaze money coming.