Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
Heshima zenu Wakuu....!!!!, Awali ya yote nianze kwa kushukuru MUNGU, kwa kutulinda Salama kwa Mwaka mzima. Ninasema Baba Asante kwa Huruma na Upendo wako usio na Kifani, aidha tunakuomba utulinde...
Habari wapendwa. Leo nilikuwa mahari fulani na kukawa na ubishi kuhusu vyombo vya moto kutozwa tozo/ushuru katika daraja linalounganisha kigamboni na maeneo mengine ya jiji la Dar kupitia...
Habari za saa hizi wapendwa heri ya mwaka mpya iwe nanyi
Leo naomba niweke wazi kwa kutokuwa na imani na huyu Mh ZZK.
Zitto alikuwa zamani lkn sio huyu Zitto wa sasa
Haya ni kati ya machache...
Habari zenu wakuu,
Nina masikitiko Makubwa sana kwa hiki alilochofanyiwa mgonjwa wangu alielazwa katika ward No 1 chumba cha CCU, Critical Care Unit na Manesi, hususani Manesi walioingia zamu...
Habari wanajamii. Leo naomba kueleweshwa juu ya jambo moja. je kuna uhusiano wowote kati ya dini na mahusiano? nikiwa na maana kuwa je nikitaka kuoa ni lazima tuwe dini moja na mpenzi wangu?
Habar wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,Pudit Kittithradilok 34,mmiliki wa Piramidi nchini Thailand akutwa na makosa ya utapeli na kuhukumiwa na mahakama miaka 13,000 jela.
Pudit...
Hey wana JF. mwaka unaisha rasmi leo. Napenda kuwatakieni heri ya mwaka mpya 2018.
Lakini ni vizuri kutafakari kuwa mwaka 2017 unaishaje? wapi ulikosea na hatimaye marekebisho yaweze fanyika ktk...
Jamani hivi watendaji na uongozi Dawsco mpo? Mnaona Dar es salaam nzima ukiondoa katikati ya jiji mabomba yanavuja hovyo.Angalieni Kimara, Sinza na Ununio. Serikali kwa kodi zetu imejenga bomba...
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Kituo cha Nansio wilayani Ukerewe, John Kalongola amejinyonga kwa kipande cha chandarua nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema mwili wa...
Tulikubalia biashara ya kuniuzia gari aina ya spacio new model kwa sharti la kwamba ipelekwe Arusha kwa ajili kumaliza biashara akaomba deposit ya pesa ya mafuta kiasi cha laki moja na nusu...
Habari za leo wanajukwaa,
Husikeni na mada tajwa hapo,wanawake ni mama zetu,dada zetu,shangazi zetu,wake zetu,viburudisho vyetu na ni bibi zetu pia.Pamekuwepo na tabia ya baadhi ya wanaume wenzetu...
Heri ya Jumapili wapendwa katika Jina la Bwana aliye Hai.
Kutokana na dozi ya Konyagi ya jana nimeshindwa kwenda Kanisani nikaamua nisali kupitia Kipindi cha Tumwabudu Mungu kupitia TBC Taifa Fm...
Hii ipo kwenye miji mikubwa hasa Dar, Mwanza au mingine yeyote ambayo wazazi wanakuwa busy sana kuzitafuta pesa huku wakiwaacha watoto wao wapendwa nyumbani wakiwa na ndugu,jamaa, majirani...
Nimefikiria statement moja ambayo ni mara nyingi tu husikika kutoka kwetu wanaume, especially baada ya kuulizwa kuhusu watoto wetu.
Pale inapohitajika msisitizo kma kweli mtoto huyo ni wako, huwa...
Inasikitisha sana kuona watendaji wa DAWASCO Mbezi Beach wanakuwa wazembe kiasi hiki kuna bomba la maji limepasuka Barabara ya Shule karibu na St, Aloysious Nursery & Primary School tangu Alhamisi...
Katika Sura hii inaonesha ni kwa kiasi gani Bishop Zachary Kakobe alivyogonga vichwa vya habari vya media mbalimbali.
Lakini pia serikali kupitia taasisi zake inaendelea kuonesha hali ya...
At least kanisa katoliki limejitahidi kuisaidia jamii,kuna shule hospital n.k
sasa hizo taasis nyingine za dini zimeifanyia nini Tanzania??
kama sio kuneemesha wachache mpaka wanakufuru...
Sisi ndio wanaume wa Dar,
Wanaume wa dar hatutaki shida kabisa, si kwetu vitu mtelezo kama tunateleza kwenye ganda la ndizi ndivyo tunapenda na hapo ndipo tofauti yetu kubwa kati ya wanaume wa Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.