Hey wana JF. mwaka unaisha rasmi leo. Napenda kuwatakieni heri ya mwaka mpya 2018.
Lakini ni vizuri kutafakari kuwa mwaka 2017 unaishaje? wapi ulikosea na hatimaye marekebisho yaweze fanyika ktk kipindi cha mwaka 2018. lakini usisahau kujiwekea malengo tarajiwa ya mwaka mpya tarajiwa. jambo la msingi ni kwamba usimsahau akujaliaye Pumzi na afya njema na kukushindia kila ukutanapo na magumu. namaanisha usimsahau MUNGU