Kama ilivyo kwa sasa serikali inahamishia makao makuu Dodoma hivyo shughuli zake zote kuwapo Dodoma. Tunatambua pia makao makuu ya kanisa Katoliki kuwapo Dar na kanisa la St. Joseph kutumika kama...
Kumekuwa na malumbano juu ya kipi kati ya serikali isiyokuwa na dini, na dini kuvuka mipaka yake na kujikuta kwenye uwanja wa mwinzie. Inaaminika kila kimoja kina mipaka yake na kila kimoja...
Kuna taarifa za mikopo ambayo taarifa zake zinasambaa hasa Mkoa wa Tanga na wilaya zake sijui mikoa mingine kwamba kuna mkopo unatolewa kwa wakulima na wafugaji kuanzia milioni mbili kwa mfugaji...
Salam wandugu
kichwa chajieleza, wakuu naomba kujuwa asili ya Mzee Moses Nnauye baba wa Nape Nnauye. alizaliwa wapi na kijiji gani na alisoma wapi. Wapo wanaosema Singida, Lindi na wengine Mtwara...
Ulikua ni mchezo maridhawa wenye taratibu na kanuni zilizosukwa vizuri sana. Kuna kiduara kinachorwa zikawekwa gololi zikiitwa kwenye mchezo "mali", ambazo wachezaji wote wanachangia kwa idadi...
Hivi Mh. Rais Christmas hii amesalia kanisa gani. Sijasikia alipokwenda kusali. Hii ni siku kubwa na Rais ni nembo ya Taifa, kujua aliko sali ni muhimu kwa raia.
Malalamiko ya wachimbaji wadogo ni kutothaminiwa na kupewa huduma muhimu za kijamii ikizingatiwa kuwa wanafanya shughuli zao kisheria kama wazawa ambao wana haki ya kutumia rasilimali zilizopo ili...
Hizi ni nchi mbili duniani zisizo na eneo maalumu lenye mipaka maalumu na ambazo watu wake wanaishi kama raia wasio rasmi kwenye nchi ambayo haikuwepo kabla.
Wote hawa wanatawaliwa na nchi...
Hawa kwote ni partners in crime, kuanzia Migodini, real estate mpaka kwenye mobile phones companies lkn Rostam Aziz ni tajiri mkubwa sana, na utajiri wake ameupatia hapa kwetu, kwanza nasikia ana...
Kabla ya kuanza kusoma kisa hiki naomba tuwe watulivu na wanyenyekevu pale watumishi wa Mungu wanaposema jambo, ni hatari kuwadharahu.
1 Wafalme 22
1 Wakakaa miaka mitatu pasipo vita kati ya...
Joel 2:12-13
Even now,” declares the Lord,
“return to me with all your heart,
with fasting and weeping and mourning.”
Rend your heart
and not your garments.
Return to the Lord your God,
for he is...
THE LESSON FROM A DONKEY!
One day a farmer's donkey fell down into a well.
The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out
what to do.
Finally, he decided the animal was...
Heshima kwenu.
Huwa nashangaa yanapojiri baadhi ya matukio Nchini ambayo yanagusa maswala ya Imani, Waumini ama
Viongozi wengine wa Kiimani.
Huwa najiuliza ni kwa nini viongozi hawa wawili,
Yule...
Wanaume ni watu wa ajabu sana,
Wanaume utawakuta wanawananga wanawake na wakati fulani wanawapa majina ya ajabu kisa tu wamekubaliwa mombi yao kwa haraka, majina kama 'maharage ya mbeya, maji mara...
Habarini wanajamvi
Haiwezekani toka mbs 2600 mpaka mbs 1300 na. Hawa haloteli wamezidi sasa.
Jana nimeangalia salio la mbs, zilikuoemo 156 ile nacancel tu, nikatumia ujumbe wa salio la mbs 5...
Habari za asubuhi wana JF
Katika mji Mdogo wa kibiashara uitwao Makambako ulio mkoani Njombe asubuhi ya leo Askari polisi ajulikanae kwa majina ya Zakayo Dotto Kileka amemtwanga risasi na...
Wachagga kwa mirungi aiseeee......atakuwa alikuwa ana kwenda kuuza wenzie wamemchoma..........
Halafu anaonekana ameshajikojolea......kabisa
Hawa watu ni hatari sana katika Taifa hili na jamii kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.