DAWASCO badilikeni; mabomba yanavuja sana maji

DAWASCO badilikeni; mabomba yanavuja sana maji

mezanane

Senior Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
116
Reaction score
185
Jamani hivi watendaji na uongozi Dawsco mpo? Mnaona Dar es salaam nzima ukiondoa katikati ya jiji mabomba yanavuja hovyo.Angalieni Kimara, Sinza na Ununio. Serikali kwa kodi zetu imejenga bomba kubwa la Maji kuleta Maji jiji la Dar es salaam maana mlidai hakuna miundo mbinu ya kutosha. Hata serikali imewapa miondo mbinu. Sasa mmeshindwa kusimamia mifumo yenu ya kusambaza mitaani. Huu Ni uzembe WA hali ya huu baadae mtashindwa kuendesha shirika ambalo hamna ushindani na soko lipo! PIA, vitendo vyenu vinachochea watu wasiowavumilivu kujiunganishia Maji na kuongeza ukubwa WA tatizo!! Badilikeni...
 
Back
Top Bottom