kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Tulikubalia biashara ya kuniuzia gari aina ya spacio new model kwa sharti la kwamba ipelekwe Arusha kwa ajili kumaliza biashara akaomba deposit ya pesa ya mafuta kiasi cha laki moja na nusu 150000/= nikampatia lakini kinyume ya makubaliano hakupeleka gari na Hajarejesha pesa yangu tangia tarehe 17/3/2016
Kila nikimdai ananijibu shiti.
Nampa siku ya leo asiporejesha hzo pesa leo hii nitapost picha zake hapa
Na ile transaction text ya tigo pesa na text zote kwa ushahidi ili mumfaham na mumuepuke kama ukoma huyu jamaa kwa sababu ni maarufu sana maeneo hayo niliyoyataja
Na huwa anapatikana hayo maeneo.
Nawasilisha.