Tuwaheshimu wanawake

Tuwaheshimu wanawake

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,888
Reaction score
13,644
Habari za leo wanajukwaa,
Husikeni na mada tajwa hapo,wanawake ni mama zetu,dada zetu,shangazi zetu,wake zetu,viburudisho vyetu na ni bibi zetu pia.Pamekuwepo na tabia ya baadhi ya wanaume wenzetu kuwadharau,kuwakejeli na kuwakebehi wanawake
Baadhi ya wanaume wenzetu wanawadhalilisha wanawake kwa kuwaambia kuwa "wanamashimo,wanamabwawa,wananuka midomo,wananuka papuchi,wanamakucha kama majini,wananuka vikwapa,wanatembea na vinyesi (kwa kuwa hawatumii maji ila wanatumia tissue) na ni Malaya" (refer to Aunt strawberry and others)
Kwa sisi wanaume tuliolelewa kwenye maadili mazuri tulifundishwa pia kutunza na kuwaheshimu wanawake kwa kuwa wao ni sehemu ya miili ye2,fikiria mwanamke anabeba damu yako miezi tisa,unamuingizia dyudyu yako tena kwa staili zote mpaka dogs style/mbuzi kavunjika miguu ya mbele/mbuzi kagoma kwenda
Ukimkuta mwanamke anakasoro mpeleke hospital akatibiwe na umfichie hyo siri...,nilishawahi kuishi kwenye nyumba flani ya kupanga na alikuwepo mpangaji mwenzangu ambaye mke wake alikuwa na tatizo la kutoa harufu sehemu za siri; na alikuwa akiingia bafuni kuoga mtu mwingine hawezi kuingia mpaka yapite masaa mawili au zaidi,baadae alimpeleka hospital na akatibiwa mpaka hivi sasa yupo sawa
Naweka msisitizo tena tuache tabia ya kuwatangaza watoto wa watu kwa mapungufu waliyonayo kwa kuwa ni kasoro za kibaolojia hata wao hawakupenda kuwa hivyo walivyo,kwa issue ya usafi unaweza kumshauri na siyo kumtangaza
Have a nice day
 
Heshimu binadamu yeyote awe mwanaume au mwanamke.

Aidha asipojiheshimu asiheshimiwe.
 
Na wewe kwa kutaja taja hizo kasoro bado hujawaheshim
 
Tatizo wavulana ndo wengi humu kuliko wanaume. Naamini ujumbe umefika
 
Wakati mwingine watu wanaogopa kuwaambia live watajiskia vibaya hivyo watakaopita iwe humu JF au kwingine watapata shamba darasa kuhusu suala la usafi na mengineyo!
Usafi ni muhimu kwa mwili wako haipaswi usubiri hadi mtu wa mbeya akushauri wewe uliekuwepo bukoba.
Tuwe smart wanawake kwa wanaume itapendeza zaidi
 
Back
Top Bottom