YADAI ASKOFU KAKOBE ALITUMIA VIPIMO AMBAVYO SI SAHIHI
BAADA ya waumini kulinda majengo ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) kwa takribani siku 77, mpambano na vyombo vya dola...
Mkuu wa wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Chelestino Mofuga amemtaka mkazi wa kijiji cha Tumati, Faustina Boay ambaye kwa miaka 27 alitengwa na wananchi wa eneo hilo kwa imani za kishirikina...
VIDOKEZO MUHIMU VYA AFYA NA USALAMA.
#Kwa Hisani ya kumaliza mwaka 2017.
#Mtatiro J
1. Pokea simu kwa kutumia sikio la kushoto. Zungumza na simu mara chache na kwa muda mfupi, tumia zaidi...
Habari za siku hii njema wana JF
Nilikua natafakari tu kwa maandishi, ukiwa mtu mzima lazima unapoenda mbele inafika mahala unasimama na kutafakari na kushughulika changamoto zote ulizozipata...
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga, Nimefatilia kwa undani vifo vya viongozi wengi wale waliofikia vyeo vya Juu vifo vyao vimegubikwa na Utata mkubwa sana Huku Uhalisia wa taarifa juu ya...
Moja ya Magazeti nguli yenye kuaminika na kuogofya lilikuwa ni Gazeti LA Mwananchi kupitia kampuni yake ya MCL lakini nathubutu kusema gazeti hilo kwa sasa limelishwa limwata limekuwa kama mbwa...
tiGo hawajawahi kuacha kuonesha maajabu aisee...
unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho..
Jamaa...
wakuu husika na kichwa cha habari,naomba kujua waliowahi kuishi au kufika ujeruman kukoje kiujumla
1_hali ya hewa
2_hali ya kiuchumi
3_ubaguz
5_maisha kiujumla
6_lugha
asanteni
Kuna usemi unakwenda hivi "miluzi mingi humpoteza mbwa" ikimaanisha kuwa hata mbwa mwindaji mzuri mkimpigia miluzi mingi huchanganyikiwa akashindwa kujua ni wakati gani akimbize ama achukue...
PUNGUZA MZIGO, PUNGUZA MARAFIKI FEKI PUNGUZA KABISA TENA WAPUNGUZE SANA TU;WAPUNGUZE ILI UWE MWEPESI
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa...
Wakuu habari za asubuhi
Kwanza moja kwa moja naomba niseme wazi wazi serikali imechangia kwa asilimia kubwa taizo la usafiri nyakati za sikukuu
Mimi nikiwa kama mmiliki na mdau wa usafirishaii...
BURUDANI au kuburudika kupita kiasi hakujengi , ukifuatilia sana mtu anayeburudika sana ana uharibifu mkubwa .
Mwenye kuburudika kikawaida huwa hafikirii.
Mwenye shida ndiyo anafikiria.
Ndiyo...
AFFLUENZA ni ugonjwa unaosababishwa na watu wenye vipato,, kununua vitu hovyo hovyo , hata kama haitaji ,naweza kuwaita "" shopaholic" ,,,,,,
Kwa lugha nyingine tunasema wana shopping addiction ...
Waungwana habari zenu, leo hii jioni ya tarehe 26 December ambapo ni siku ya boxing day mida ya saa kumi na mbili na nusu kumetokea ajali mbaya ikihusisha gari aina Ya Suzuki(Kirikuu) iliyotokea...
Rais aliagiza watumishi takribani 59 elfu wapandishwe daraja kufikia mwezi wa 11 mwaka huu, na kuna barua ya katibu mkuu utumishi akiwaagiza maafisa utumishi warekebishe mishahara ya watu mwisho...
Vyanzo kadhaa vimedokeza kuwa TRA imesukumwa kuchukua hatua hiyo kutokana na wingi wa wageni mkoani Kilimanjaro, ambao wamechangia kuongezeka kwa biashara.
Moshi. Kwa wiki moja mfululizo...
Watanzania tuipende nchi yetu, tuweke kando ushabiki na itikadi zetu pembeni kwa ajili ya nchi yetu; huu ndio uzalendo.
Wamarekani wanao msemo -'America First ". Rais mmoja wa nchi alipata...
Wadogo zangu na waasa bila kujali itikadi zenu za dini, ni vyema basi mkajifunza kunywa bia mkiwa wadogo, either ni nyumbani, shuleni au vyuoni, popote pale kwenye sherehe zenu agizeni bia...