Kwanini Viongozi wengi hawafi Natural Death Je ni Karma au?

Yales

JF-Expert Member
Oct 3, 2015
518
500
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga, Nimefatilia kwa undani vifo vya viongozi wengi wale waliofikia vyeo vya Juu vifo vyao vimegubikwa na Utata mkubwa sana Huku Uhalisia wa taarifa juu ya vifo vyao vikibaki Kuwa classifieds kwa viongozi wanaobaki, Kuongoza Watu ni kazi sana kiasi kwamba kuna ambao wachache wanapaswa Kufa kwa kuuliwa ili wengine wengi waishi kwa Amani au tu kwa kulinda masilahi ya Wakubwa hao ambao hutoa amri, JF kumekuwa na Makala nyingi za vifo vya utata wa watu mashuhuri haswa viongozi tukianza na Rais wa Zanzibar Abeid aman karume, Kuna John F Kennedy ila pia kuna thread ina trend ya kifo cha Dk omary, undani wa vifo hivi havikosi either mikono ya Viongozi wa Juu waliokuwepo madarakani au Idara za kiusalama, Je mauji haya ni Karma au.? Kwanini wazee hawa Hawafiki hatua ya kufa kwa natural death, Mwalimu ametutoka akiwa na 77 ilikuwa bado sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom