Waziri mkuu wa zamani wa Israel aliyewahi kuhudumu pia kama rais Shimon Peres amefariki dunia akiwa na miaka 93.
Aliugua kiharusi wiki mbili zilizopita na hali yake ikawa mbaya zaidi ghafla...
Mnamo miaka ya 1980 Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali za nchi za Scandinavia walianzisha mradi uliyokuwa ikiitwa Industry Promotion Project (IPP) ikiwa chini kampuni iliyoitwa...
Maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi kitaifa zinafanyika Zanzibar na TBC watarusha mubashara ibada ya misa takatifu kuanzia saa 2 asubuhi. Nimuombe tu mtangazaji wa TBC ndugu Makerubi aache tabia...
Wadau
Waziri wa Ardhi Mh William Lukuvi na Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu wametajwa kufanya vizuri zaidi kiutendaji katika baraza la mawaziri kwa 2017.
Hii ni kwa mujibu wa maoni yaliyotolewa na...
Jaman, nyie Airtel huku pande za Lindi mbona mnazngua na sikukuu kama hii..!!
Nimenunua bando la maana hapa, ile nizame kwa mtandao nijivinjari na maburudani ila mtandao hata 3G haishiki.. Tatizo...
Katika waandishi wa habari wauliza maswali waliojipanga vizuri mwandishi wa habari Mayage nimempenda. Alipomuuliza Swali Kingunge wakati alipoongea na waandishi wa habari. Swali limekakamaa na...
Kwa wale tulioko Moshi em tuelekezane mitaa, club, gardens, au sehem zozote nzuri kufanya mtoko jumatatu hii ya Sikukuu ya Krismas.
.
Mimi ntakuwa pale Mekuz Bistro, iko karibu na roundabout ya...
Jamani, pale M city wamefunga mashine ya kupima vitu vya asili ya chuma (metal detector) kwa watu wote wanaotaka kuchoma ndani.
So kuna usumbufu wa aina yake kama vile kwa wasafiri wa kupanda...
Ngo'mbe 119 waliokamatwa wakichungwa ndani ya pori la akiba Maswa kinyume cha sheria, wameuzwa kwa amri ya Mahakama ya Mkoa wa Simiyu.
Akizungumza na ITV kabla ya kuanza kwa mnada huo uliofanyika...
King'amuzi changu na 01819382948 hadi sasa kimebakiza TBC1 pekee ndiyo iko hewani!Sinaga hoby na Chanel zingine zaidi ya local Chanel kama ITV, star TV,Chanel ten na TBC baasi!
Wadau naombeni...
Msaada tafadhari kwa yeyote mwenye kufahamu, siku tatu hizi nimekuwa nikijaribu kutuma pesa toka tigo kwenda mpesa lakini process inakataa kuwa namba ya voda si sahihi wakati namba ni sahihi na...
Ujumbe wa krismas kwenu tuache kuuwa vizee kwa madai ya kuwa ni vichawi. Tuwape matunzo mema kama wenzetu wa Ulaya. Yaani mpaka raha. Wazee wana nyumba zao kama zionekanavyo pichani. Hapo hupati...
Habari wakuu,kuna mashairi fulani ya reggae music yanizungumzia jamii na kuifananisha na BORLA BIRD,kwa anayemfahamu huyu ndege naomba anipe mwanga kidogo pamoja na sifa za huyu ndege
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.