MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,611
- 39,402
Habari za siku hii njema wana JF
Nilikua natafakari tu kwa maandishi, ukiwa mtu mzima lazima unapoenda mbele inafika mahala unasimama na kutafakari na kushughulika changamoto zote ulizozipata huko ulikotoka. Sasa ikiwa wewe ni ahambiliki, usiyetaka kusikia la mkuu, unaweza ukavunjika guu kama wahenga wa zamani walivyosema.
Kuifanya story fupi, nilikua nimekaa na baby drama mmoja hivi kwenye joint moja tunapata mbili tatu kusherekea sikukuu ya noeli, ajabu ya firauni yule dada kwa kutumia herufi kubwa (tena zikiwa kwenye bold) alisema maneno haya naomba kumnukuu:
" HUYU BABA JAMANI MIMI SIMPENDI,MAMBO YAKE YANA UKAKASI SANA"
Matamshi hayo mazito yakanifanya niwaze tu kama mpaka mabinti watamu na nyororo wanajua mambo yako yana ukakasi, basi huna budi kubadilika mzee mzima.