Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jinsi ya kubadili jina (username) jf profile
0 Reactions
2 Replies
753 Views
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), unatarajia kuongeza mabasi katika mfumo wake kutoka 140 yaliyopo sasa hadi 305 pindi awamu ya kwanza ya mfumo huo itakapokamilika Juni 2018. Taarifa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanawake wawili wamekamatwa Jijini Hong Kong kwa kusafirisha Dawa Za Kulevya ambazo walitumwa na Mwanamke Raia wa Tanzania waliyemtaja kwa jina la "Margaret" ambaye ni Mkazi wa Magomeni Jijini Dar...
9 Reactions
28 Replies
5K Views
UZAZI: Mwanamke mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo. Mwanamke huyo aliyefahamika kwa majina ya Asha Mashaka...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
habari zenu wakuu, Nilijiunga na Azam Tv baada ya kuona humu JF watu wanaisifia sana. na channel zangu pendwa zilikuwa mbili tu AMC series na AMC Movie. sasa wametoa hizo channel yaani Azam haina...
6 Reactions
117 Replies
19K Views
Dhahiri kwa macho yangu Jana nimeshuhudia baadhi ya Wafanyakazi ya benki ya CRDB tawi la Nanyamba wakivuta Mkwanja kutoka kwa Wakulima wa korosho wa maeneo hayo ili wawasaidie kupata huduma...
1 Reactions
5 Replies
974 Views
Wana BODI nawasalimu! Kuna kijana wa KiCongo, aged 24-30 nimekutana nae maeneo ya Ubungo. Kijana huyu anaongea kiswahili cha KiCongo, ana ID ya Congo ila hakuwa na Passport. Ana wiki 2 sasa hapa...
6 Reactions
110 Replies
9K Views
Ugandan rebels have attacked two military bases in the northeast of the Democratic Republic of the Congo (DRC), killing two United Nations peacekeepers and injuring a dozen others, PressTV...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Muhali gani wandugu? Jamani eeeh, je kuna watumishi ambao wamepandishwa madaraja sambamba na kupata mshahara mpya kwa mwezi huu wa December kama ilivyo ahidiwa na wenye mamlaka husika? mana...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
. Na SANGU JOSEPH . . Imekua ni utamaduni wetu wa kawaida kwa Watanzania pamoja na waafrika kwa ujumla kulalamikia watu wanaotusema vibaya au kututendea mambo tusiyoyapenda kuyasikia na yenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengi wa vijana wa zamani waliosoma mpaka kidato cha sita na wale waliopata kozi mbalimbali za Diploma na shahada walipitia kwanza JKT ili kujenga uzalendo,elimu ya kijeshi kidogo,ukakamavu na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia mkazi wa kijiji cha Kanyara wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa kukutwa na nyara mbalimbali za serikali, yakiwemo magamba 40 ya mnyama aina ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
http://parliament.go.tz/polis/uploads/bills/1512995101-A%20Bill%20Public%20Service%20Pension%20Fund.pdf
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi) Lakini watu wengi huanza kulala...
24 Reactions
169 Replies
11K Views
Yaani ukitazama thread nyingi na ata wachagiaji wengi kwenye mada zao utakuta wakina dada au wanawake wanawacoment kwa Negative sana , Sijawahi ona jema ata moja la hao wakina dada likisemwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yawezekana ulikuwa na malengo biashara, kilimo, ufugaji na shughuli nyinginezo za kimaendeleo Ila ukashindwa kuanza au kuendeleza kutokana na sababu mbalimbali kama vile kukosa mtaji, kukatishwa...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Madini ya Tanzanite yenye thamani ya sh bilioni 1.84 yameuzwa kwenye mnada wa tatu wa kimataifa wa madini uliofanyika mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara. Kamishna wa madini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika ukurasa wa Yericko amelipoti kwamba: "Leo nimekutana na kaka mkubwa kamanda wa Anga, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe. Tumezungumza mengi kwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Nauliza hili kwenu mamlaka ya Ewura mnisaidie kwasababu huku Mtongani na kuelekea Ununio bei ya gesi ya mihan mtungi wa kati ni shilingi elfu hamsini sawa na bei ya oryx! Maeneo ya Mkwajuni...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu habarini za muda huu. Ni vyema kufuta mikosi yote iliyotokea kipindi cha nyuma kwa dhamira zetu au dhamira za shetani ili Mungu akitujalia tumalize mwaka salama na tuanze mwaka mpya...
1 Reactions
0 Replies
671 Views
Back
Top Bottom