uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,100
BURUDANI au kuburudika kupita kiasi hakujengi , ukifuatilia sana mtu anayeburudika sana ana uharibifu mkubwa .
Mwenye kuburudika kikawaida huwa hafikirii.
Mwenye shida ndiyo anafikiria.
Ndiyo Maana biblia inasema , Muhubiri 7:14 "siku ya kufanikiwa ufurahi , na siku ya mabaya ufikiri.
Wanasayansi wamebaini kuwa ubongo wa Mwanadamu unaruhusiwa kufunguka zaidi kipindi cha SHIDA.
kwa divine knowledge yaani Elimu ya kiungu ,, ukikwama ndipo Mungu anapohitajika ,,,Mungu anapata nguvu ya kukusaidia kwa kukwama kwako ukijitia unaweza atakutazama tu.
Usipende starehe kupitiliza huo ni Msiba , akili yako itakuwa imeathirika tayari ( pleasure centre ya ubongo imeugua ).
Pleasure centre ndiyo inayokufanya , usikie raha na kusababisha , kulirudia lile tukio Mara kwa Mara, kwa msaada wa chemical messenger ya ubongo wetu inaitwa DOPAMINE . ambayo inaathiri ubongo na Matendo yetu yote hasa RAHA, tamaa, mapenzi ,hamasa nk.
ikizidiwa na kuzoeleka huna tofauti na teja.
Be inspired