Inabainishwa Kobe huyo ndie kiumbe hai mwenye umri mkubwa kuliko yeyote Tanzania.
Arusha. Clocking 100 years of age is quite an accomplishment to you, but it is not a big deal...
*Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo wanaume mnatakiwa mjirekebishe 2018*
1) *Utakuta mwanaume anasafisha chumba mara 7 kwa wiki*
_hayo ndiyo mambo tusiyoyataka 2018 mwanaume anasafsha chumba mara...
Habari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
Wadau
Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa Ndg Joseph Pizo kwa kujifanya Daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu. Daktari huyo feki inadaiwa amekuwa akitoa...
Heri ya Christmas wakukuu mm ni kijana Niko chuo mwaka wa 3 nmepitia masage za kaka zangu walionitanguria na wamemaliza chuo wakitegemea ajira sasa mm nmeona niombe mawazo yenu na ushauri Nina...
Hodi humu javini kama kichwa kinavyo jieleza mm nimwana Mufindi wilaya ambayo kuna kilimo cha chai, kahawa, miti ya mbao nk kuna viwanda vikubwa vya kuchakata hayo mazao kwa kiwango kisichotia...
Naweza kuwa na uelewa Mdogo kwenye hili, naona kama mabasi ya abiria yangetolewa kwenye zoezi la kupimwa barabarani. Mara nyingi kwenye maeneo haya kuna kuwa na foleni ndefu ambazo ni usumbufu...
Heri ya xmass wapendwa. Kama kichwa cha habari kilivyo,nataka mwakani nikasome postgraduate diploma chuo cha uhasibu Arusha,nilipoingia kwenye website yao nikaona kuna kozi inaitwa PD in...
Habari za sikukuu wapendwa wa Mungu
Nianze na historia kidogo.
Nilizaliwa miaka 34 iliyopita. Ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wanne kwenye familia. Wanaume tuko wawili na wakike ni wawili...
Airtel mbona kabla mwaka haujaisha mnatunyoosha kwa kupandisha gharama za vifurushi hivyo???. Yani zamani ilikuwa sh. 6000 unapata GB 4 NA DK 500 kwa siku 30. Lakini kwa sasa sh. 5000 unapata GB 2...
Msaada wa mawazo jamani hiyo mada tulikuwa nayo maskani tunadiscus lakini hatukupata majibu sahihi.. Upi msemo ambao unapaswa kupigwa marufuku ni "VYUMA VIMEKAZA" AU "VIBAMIA..?
Heri ya christmass ndugu zangu,Leo tukumbushane nyimbo zinazohit wakati wa christmass,kuanzia kwa kina boney M,jimmy reeves,carols na wengine wengi ili tuisindike siku hii salama salimi
Katika mkutano wa jana Dodoma hotuba ya awali ya Rais Magufuli niliguswa na Sehemu moja tu aliposema"Mke wa Mfalme lazima aambatanae na mmewe na sio kumsaliti". Mfalme ni nani ?
Mfalme anaweza...
Niende kwenye mada
Unakuta hawa wanaojiita ma -video queen Yaani kila video wao ni kuonesha maungo Yao nje..Mimi huwa najiuliza hivi huo ndio uburudishaji au?? Lakini huwa hawafikilii kuwa wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.