Kampuni ya tiGo kiboko wizi mtaacha lini?

Kampuni ya tiGo kiboko wizi mtaacha lini?

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
601
Reaction score
2,508
tiGo hawajawahi kuacha kuonesha maajabu aisee...

unaweka 'jero' kwa simu yako ambayo haina internet (data off), haujapiga na hata kutuma SMS, lakini Salio linakwisha kwa mnunurisho..

Jamaa mwingine alijiunga kifurushi cha hawa jamaa.., ili apate dakika, akapewa na 20MB..., ajabu iliyoje, yeye anatumia NOKIA YA BUTTON (Torch) lakini anapewa ujumbe kwamba amebakiwa na 5MB

Jamaa siwawezii.. [emoji119] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tigo huwa kila nikikutana na wakala wao nawaambia hata mkinipa line bure na mdada mmoja wa Customer care sichukui.

Wabovu kuliko ubovu wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom