Msaada waliowahi kuishi/kufika nchi ya Ujerumani

jenerali kibibi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,167
Reaction score
630
wakuu husika na kichwa cha habari,naomba kujua waliowahi kuishi au kufika ujeruman kukoje kiujumla
1_hali ya hewa
2_hali ya kiuchumi
3_ubaguz
5_maisha kiujumla
6_lugha
asanteni
 
Kwa upande wa lugha jitahidi ujue angalau salamu tu na maneno machache ya kijerumani manake wajerumani hata kama anajua kiingereza hawezi kukuongelesha hadi umsalimie kijerumani kwanza
 
duh MBNA itakuwa shida sana?
hata nikijua salam je vitu vingine nitawasiliana vp
 
wapo walienda hawajui hata kimalkia ila sasa ni waongeaji wazuri wa kijerman huna haja ya kuogopa au kuwaza itakuwaje. we jiandae siku ya kusepa wahi mapema 'eapot'
ubaguzi hauwez kosa kwasbb hata huku tunabaguana wenyewe
 
We mjue Thomas muller,ozil na lahm tu ujerumani utaiona tamu
 
Kwa upande wa lugha jitahidi ujue angalau salamu tu na maneno machache ya kijerumani manake wajerumani hata kama anajua kiingereza hawezi kukuongelesha hadi umsalimie kijerumani kwanza
Danke
 
Back
Top Bottom