Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Niwe tu mkwel jamanii, moja kati ya company za mawasiliano nchin zenye matangazo mazur ya kutangaza huduma na bidhaa zao ni TIGO bna. Hawa jamaa ni wabnifu sna hasa nikkumbuka toka kpnd kile cha...
1 Reactions
6 Replies
928 Views
Kwenye kurasa ya MillardAyo, kuna habari kwamba, Watanzania wapatao 23 wamekamatwa kwa uvuvi haramu huko nchini Kenya maeneo ya Malindi, kata ya Ilifi. Gazeti la the Citizen Chanzo: Watanzania 23...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Matarajio ya popote pale ni kwamba kadri barabara zinavyoboreka ndivyo muda wa kutoka mahala kwenda mahala kwingine unapungua. Tanzania kadri barabara zinavyoboreka ndiyo muda wa kutoka sehemu...
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Askofu mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Josephat Lebulu ameng’atuka leo, Katibu mkuu wa TEC, Raymond Saba amethibitisha. Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi, Isaac Amani ameteuliwa kuwa askofu...
4 Reactions
73 Replies
59K Views
Amani ya bwana iwe nanyi. Sikukuu za mwaka huu tumeshuhudia wimbi kubwa la watu kusafiri kurudi kwao kwenda kusherekea sikukuu pamoja na familia, ndungu zao na rafiki zao. Hili ni jambo jema na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Sisi Umoja wa Watumiaji Safari Ndogo (UWASN) tunaombeni ninyi kampuni ya bia ya breweries mtuongezee makali ndani ya safari ndogo ili tuenjoy zaidi na kubana matumizi. Asanteni
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajukwa habarin Polen kwa majukumu ya kazi na shamrashamra za sikukuu ya x-mass na mwaka mpya Je kiuhalisia na kiuhalali kabisa MWAKA MPYA ni upi kwa mwanadamu Je ni ile tarehe aliyozaliwa...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Wana JF mnaotumia hii kitu mlishawahi kununua kwa wanaume??? Biashara za wamachinga zipo nyingi na zinafanywa na jinsia zote lakini hii mm inanishangaza wauzaji ni wanawake pekeyao...kwanini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru m/mungu muumba wa ardhi na ardhi, pia na vilivyopo ndani yake. Mwaka 2017 ulikuwa mwaka wa baraka sana kwangu ijapokuwa ugumu ulipata kutokea miez hii sita ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nitangulize kusema kwamba mimi sina ushabiki na chama chochote cha kisiasa na sitakaa nishabikie siasa hata siku moja Pili sipingani na uongozi uliopo madarakani wala sishabikii na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya jamani,mwenye setup ya program nzuri kwaajili ya kuchoma CD naomba anisaidie wakuu,
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Kiongozi wa Kiislamu haruhusiwi kuongea mambo ya Siasa nje ya bakwata, nakumbuka kuna kipindi balukta ilianzishwa ikafutwa na Serikali na Waislamu wametii, lkn nafikiri Nyerere wakati anaunda...
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Kwa mwenye Uelewa kuhusu hili naomba anijuze, kuna mtu ameipenda gari yangu na anataka kuinunua, ila ni mkongo na anaishi huko, Naomba mjuzi wa gharama itakayonicost kumaliza mchakato huu kuitoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
January-Chuma Kinachaji Betri February Mapenzi Mubasharaaaaa List ya wauza unga March Bashite Nape OUT April Naliamsha Dude Roma ametekwa na kupatikana akiwa salama. Hajafanywa chochote May-Kibiti...
1 Reactions
0 Replies
845 Views
Wakuu kwanza niwape pole kwa jitihada zenu za Ujenzi wa Taifa. Bila kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada. Nimeweka kichwa cha habari katika hali ya swali ili niweze kupata maoni...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Mimi nasubiri manabii tu waongee! Juzi kati nilishawahi kuanzisha uzi humu wa power tuliyonayo kuprophesy. Martin Luther King Jr alikuwa katikati ya written speech akaanza kuprophesy maneno ambayo...
3 Reactions
7 Replies
887 Views
Wana jamvi twaweza toana tongotongo kwa adha wanayoipata wakristo wa Koptic huko Alexandria na kusini mwa jiji la Cairo Misri, tumekuwa tukisikia matukio kadhaa ya wakristo kuuawa katika nchi ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau, kuna haja kubwa ya ku-review speed limits kwenye bara bara zetu za nchi. Sheria inayotumika sasa ni ya mwaka 1973 na since then teknolojia ya magari imeshabadilika sana. Kwanza magari ya...
16 Reactions
83 Replies
19K Views
Mimi nadhani busara inanguvu kuliko hasira na majibizano. Askofu Kakobe ni mtumishi wa Mungu ameamua kusema mambo yanamuhusu mkuu wa nchi.. The best way kuepusha laana na mikosi kwa kujibizana na...
2 Reactions
3 Replies
719 Views
Back
Top Bottom