Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,960
Nmeona taarifa trump kampa mwaliko kenyata ,kama kenya m1 wa washirika wake,..sasa sis wa tz kujifanya kupiga kura kupinga ishu ya jerusalem,na wakat bwana tilampu alishaonya,wala hatukuangalia tuna risk gan,na wakat msaada mkubwa tunatoa kwa hawa mabwana,sjaelewa kabsa,..nna hisia,ile kura tanzania tulipiga bila kushirikisha au kumshirikisha mkuu wa nchi,..nna hisia waziri kwa mamlaka yake alihizinisha ile kura kupigwa...sasa itatutokea puani walah,huwez shindana na watu wenye grand plan zao,ule mji laziima utakua capital tuu,iwe isiwe..sasa sis ilibid tuangalie tunafaidika vp na kura ile,wakenya wenzetu haoo,.haya kalagabahoo