Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Napenda kutoa mrejesho wa previous post ya my X nawashakuru kwa wale wote walionisaidia kupata details nilizokuwa nazitafuta shukran na mbarikiwe.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini? Hawa jamaa wa halotel wanachofanya si kizuri. Leo mchana nilijiunga kifurushi cha mitandao yote cha 499 na cha MB 110 jumla ni sh 1000. Sasa kwa bahati mbaya nilijiunga kifurushi cha...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wadau wa jf.naomba kupata msaada kwa mwenye information ya nchi ya Cuba.juu ya maisha kule,vyakula,living expenses,basic needs general.ahsanteni
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf!Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.Kama title inavyojieleza hapo juu,ningependa kupata ufafanuzi au data kuhusu nchi hiyo ya UTURUKI kuanzia MAISHA,ELIMU,CHAKULA,na maswala...
2 Reactions
46 Replies
22K Views
Huyu jamaa miaka ya nyuma alijipatia umaarufu kupitia kipindi cha Nani ni Nani kilichokuwa kinarushwa na Channel Ten. Ni muda umepita sijamsikia katika media yoyote ile, yuko wapi mtangazaji huyu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jaman katika hili eneo niliokuwepo nasikia kuna jechi la wanamaji lakini katika pitapita zangu pwani yote ya bahari ya hindi, pamoja na kuzifahamu fukwe zote kijografia sijawahi kuona hata siku...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Unakuta mdada amevaa vizuri tu,lakini kichwani nywele hadi zinamzidi.halafu kibaya zaidi kama uko Naye faragha hadi asubuhi.... Akitaka kwenda kuoga unaweza muuliza hivi ni wewe au...
7 Reactions
119 Replies
9K Views
  • Closed
Hali ilivyokuwa Christmas maeneo ya kiroyera, darajani, na bk club
1 Reactions
214 Replies
25K Views
Serikali imesema suala la chaneli za nyumbani kuoneshwa bure baada ya muda wa kulipia huduma za ving'amuzi kumalizika sio hiari bali ni wajibu wa kisheria kwa wamiliki wa Televisheni kuhakikisha...
4 Reactions
31 Replies
7K Views
Wakazi wa Manispaa ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na baadhi wageni waliowasili kutoka mikoani kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya wakiwa kwenye pilipilika za manunuzi ya...
6 Reactions
101 Replies
57K Views
Habari wakuu Picha hapo juu anaitwa Samia aliondoka siku ya Jana aliaga anakwenda kwa bibi yake lakini baadae kuna mwanaume alipiga simu na kusema Samia amefariki.baada ya hapo akakata simu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kitambo hatujawasiliana kutokana na mimi kwenda kusoma nje ya nchi Nimemtafuta kwa social network lkn hayuko active mana last status ni ya miezi tisa nyuma Kwa yeyote anayemfahamu huyu m2 ani pm
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Baada ya kuonekana kwa picha mtandaoni zikionesha namna afya ya mh lissu ikiimalika, baadhi ya watu wametoa hisia zao
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mh Waziri wa Mambo ya ndani Ukweli nilitamani sana nikupe salaam za Christmas lakini nashindwa kwani bado ninajisikia vibaya hususani kwa yale yaliyotamkwa dhidi ya Rais wetu Mh Dk John Pombe...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Watumishi mtakumbuka Mh. Rais aliagiza watumishi 59,000 waliopandishwa MADARAJA warekebishiwe MADARAJA na mishahara yao. Katibu Mkuu Wizara Utumishi aliagiza wale wote wenye barua ya Kupandishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa anaefahamu kazi ya miti hiyo tajwa hapo juu katika maswala ya tiba za asili naomba anijuze tafadhali .
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Haya jf mmeniungulia kutoka kifungoni je kum-ban member pasipo kumpa haki ya kujua kosa lake na kupewa haki ya kusikilizwaaaaa?? Hiyo siyo demokrasia ni mabavu mkijisikia tu au mkiwa na hasira...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiukweli nimevutiwa na utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ila kitu ninachojiuliza kwanini ana ubunifu katika maendeleo ya Mkoa juzi nimetoka hospital mmoja mjini kitu cha kushangaza kuna...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wametangaza kumtafuta Beatus Malima ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu kitengo cha sheria na pia ni wakili wa kujitegemea katika kampuni ya...
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Back
Top Bottom