Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi cha 'Power Breakfast' kina Babra, PJ, Siza, Fredua, Philipp na Masoud ama KP. Tokea KP ajiunge tens na Clouds FM has a katika kipindi hiki cha PB huyu jamaa hawapi nafasi wenzie kutoa...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Ninatambua kazi nzuri unayofanya lakini ninapenda kukushauri kuhusu utendaji kazi wa Maasakari wa barabarani. Kwanza kabisa nikupe idadi ya vituo vya ukaguzi vya barabarani toka Jijini Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi yakitelezwa Tanzania basi uenda tukawa the best Africa asa kimaendeleo....mfano: 1.Kwanini Tanzania isiwe na industry tax free kwa grace period ya miaka mitano kwa viwanda vipya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ONYO: INA MAUDHUI YA KUUZI, VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA. THREAD HII NI KWA AJILI YA KUJIFUNZA UWAJIBIKAJI SI KUTUKANANA. =========== Habari wapendwa wa JF! Leo katika pita pita zangu humu...
0 Reactions
6 Replies
925 Views
Waziri Mwakyembe amtembelea Wastara, ampa Mill. Moja. WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe jana Januari 20, 2018 amemtembelea na kumjulia hali msanii wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau wanguvu. Kutokana na mada juu ya vibamia kukithiri, nikaona si vibaya nitoe RAI yangu kwa kuandika kitu. Nawausia wazazi wenzangu na wale mnaotarajia kupata watoto. Jamani tuweke emphasis...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jana usiku nilisikia sauti ya mbu akiranaranda nje ya chandarua changu,ukichangia na ugumu wa maisha mwenzi huu January nikawaza jambo moja la kijinga hivi.. hivi vyandarua ambavyo serikali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna jamaa kapigwa tecno L9+ kama utani maana kamkuta jamaa ana kimeza kama mnavyojua mafundi simu wa town na tatizo lake lilikua ni camera basi fundi akamwambia tatizo linarekebishika gharama ya...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanaoshangaa Mwekezaji Mlimani City kuwekeza sh 150,000 hawajui kuwepo biashara zinazoanzishwa bila mtaji pesa? Na:Mathias Byabato "Hapo zamani katika kampuni moja ya huduma za Meli kulikuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Pale chombo cha habari kinapokosa umakini !! Mwenye Bendera ya Rwanda tafadhali tupia hapa.
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Hivi kweli hawa ni wafanyabiashara au wana shughuli nyingine.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijui kwanini au lengo la serikali ni lipi kuruhusu makundi makubwa ya wafanya biashara wadogo wadogo kukaa pahali wanapokaa trafiki tabia hii imekua ndio moja ya chanzo kikubwa cha kutoa na...
0 Reactions
7 Replies
995 Views
Vitu 12 kila mmoja anapaswa kuvifanya mwaka 2018 1. Taka kutimiliza kitu. Usiende Siku zote 365 bila kuwa na kitu akilini unachotaka kukitimiza. Anza kujenga, nunua lile gari, lipa ada, anzisha...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Hivi hii shule ni ya wazazi au, nani mfadhili wa ujenzi wa shule ya Ihungo, imejengwa kwa viwango na ni nzuri sana. kama serikali imejenga kuna haja ya kujenga kama shule hiyo mikoa mingine. kuna...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Najua kuna watu watanipinga lakini ukweli ni kwamba kuhusu hawa watu wanaotokea jamii ya watusi. Ambao asilimia kubwa wanapatikana maeneo ya ukanda wa maziwa makuu,kanda ya ziwa nchini,kigoma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Serekali itoe adhabu ya kifungo cha miezi sita jela kwa mabinti wanao beba mimba kishamba
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu,habari ya mapumziko (waliopumzika)habari ya majukumu(wanaoendelea na kazi)? Mimi ni muajiriwa ninafanya kazi Dar es salaam.Bado sijajijenga sana,ofisi imeamua kuniamishia Dodoma,natafakari...
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Wakuu sina sababu ya kuwatusi wataalamu wetu katika Nyanja ya ubunifu na ujenzi serikalini lakini nimekuwa najiuliza maswali ambayo siku zote kwangu haina majibu.! Hivi tatizo letu kubwa ni nini...
1 Reactions
4 Replies
730 Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amewasilisha majina ya viongozi wa halmashauri ambazo hazijaanza kutekeleza zoezi hilo kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika likizo ya mhula wa kwanza miaka ya 90- nilipewa pesa kiasi cha sh2000 nikajinunulie sare za shule kaptura 1000+1000 shati Njia iliyokuwa inaingia sokoni kwa upande wa nilikotokea kulikuwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom