Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
ONYO: INA MAUDHUI YA KUUZI, VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA. THREAD HII NI KWA AJILI YA KUJIFUNZA UWAJIBIKAJI SI KUTUKANANA.
===========
Habari wapendwa wa JF!
Leo katika pita pita zangu humu ndani nikakutana na uzi humu unahusiana na IQ na katika kufanikiwa kwetu katika nyanja mbalimbali.
Ingawa kuna hoja nzuri but embu tuangalie mtizamo huu wa responsibility over IQ. Kuwa na IQ kubwa hapa duniani haisaidii au haitoshi kubadili dunia. Lakini ukiwa responsible katika kila jambo unaweza badili dunia katika hali uitakayo.
Iq haikupi guarantee ya kuwa successful katika nyanja zote lakini ukiwa responsible utafanikiwa. Ukitambua wajibu wako wewe kama wewe unaongeza uwezo wa kufikiri na ufanisi katika utendaji.
Elimu duni, umaskini, siasa chafu, na kushuka kwa uchumi ni mifano ya matokeo ya kutokuwajibika, wanasiasa wetu wa Afika wakiingia wanakuwa na ahadi nyingi lakini wengi wanakuwa hawako committed kutekeleza, hawaangalii begani wamebeba mzigo wa nchi zao bali wanaangaliwa power wanayopata pindi wako madarakani, huu pia unaweza kuwa mfano wa kutokuwa responsible na majuku yako.
Wapo wanasiasa walikua na IQ kubwa katika kuongea kwao lakini utendaji wao bado hauendani na uhalisia wa kile wanachokisema. Mfano hapa Tanzania enzi za Nyerere upto now Jpm sisemi kwa nia ovu bali tujifunze kidogo.
Tutizame mfumo wetu wa elimu katika kufikiri kwetu.
Ndio tuna vyuo vingi vizuri na shule nyingi tu nzuri kwa elimu za awali ambazo huzalisha watu wengi tu wazuri ambao wanahitu na High IQ zao nyingi tu na kuja mtaani lakini kwa upande mwingine ukweli mchungu licha ya kuwa na elimu zao na High IQ hawana common sense katika kufikiri kwako na utendaji wao. Vyuo vyetu havitufundishi kuwajibika na kuleta mtazamo tofauti katika jamii zituzungukazo.
Sisemi wala siwatusi wasomi bali ukweli hii mitizamo ya High IQ katika ufauli ndiyo iliyotufikisha hapa hata mtihani tunayofanya haitupimi kile tunachokielewa bali kile tunachokikumbuka. Kama tunafundishwa kukumbuka kile tulichofundishwa lini basi tutajifunza kuelezea kile tulichokielewa?
Hivyo matokeo ya nchi yetu Tanzania ni matokeo ya hawa wenye High IQ ambao hawajui maana ya kuwajibika. Njia peke ya kuibadili nchi yetu ni mimi na wewe kuwajibika kuibadilisha si kubomoa.
Hivyo IQ kubwa si sababu ya kubadilisha maisha yetu bali uwajibikaji.
Asante!