Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mazingira ya dunia ya Leo yamechange sana Unamsomeshaje mtoto HR ..business ADM,unataka nn NB: dunia ya Leo ni ya kujiajiri tu....
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nikiwa nipo ghetto kwangu nimechoka na harakati za kila siku, nikajitupia kwenye godoro hata neti sikushusha. Nikiwa nimepitiwa usingizi ghafla baadae nikaota kuna sehemu naelekea, nikatembea sana...
0 Reactions
4 Replies
725 Views
Nikiwa nipo ghetto kwangu nimechoka na harakati za kila siku, nikajitupia kwenye godoro hata neti sikushusha. Nikiwa nimepitiwa usingizi ghafla baadae nikaota kuna sehemu naelekea, nikatembea sana...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Duuuh kweli utawala wa Magufuli umekuja kutukazia sheria zilizokua zinavunjwa miaka nenda rudi Safari za kutoka DSM/Morogoro kwenda mikoa ya kanda ya ziwa kama Mwanza zimekua ndefu mno siku za...
15 Reactions
103 Replies
10K Views
Dotto Rangimoto pichani mwenye bahasha Unapoongelea sanaa ya ushairi katika ukanda wa Afrika ya mashairiki na Tanzania utakuwa unaongelea moja kati ya sanaa zenye changamoto kubwa sana kulingana...
0 Reactions
3 Replies
46K Views
Ingekuwa mimi ni waziri wa Elimu ningerudisha Ardhi University UDSM, maana yanayoendelea sasahivi kwenye hivi vyuo hata sielewi zaidi ya kusema ni ulafi wa madaraka hasa ukizingatia ukaribu wa...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Spelling error ...madaktari wengi wa kiume ni walevi na wametelekeza familia
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimemsikia Juma Nkamia akiiambia BBC kuwa Demokrasia na maendeleo ni vitu viwili tofauti. Wakuu, je suala hili mnalionaje? Yupo sahihi?
1 Reactions
24 Replies
2K Views
ZAHANATI mbili zimefungwa kwa kukosa watumishi wa kada ya afya katika Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kupelekea wananchi kusafi ri umbali mrefu kufuata huduma za afya. Hayo yalibainika juzi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa kwa wenye ufahamu. Ahsanteni!
0 Reactions
156 Replies
24K Views
Habari wakuu wote. Kwanza nafahamu humu sio TRA wala hii sio forum ya serikali lakini nina imani watu muhimu wanapita humu, hivyo wataliona hili, maana hatuna sehemu nyingine ya kusemea. Ni...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Rapper wa Marekani Snoop Dogg amesema anampango wa kuhamia Uganda baada ya maneno makali aliyoyarusha Rais Donald Trump kwa nchi za Afrika. ("shithole") Katika video YouTube, rapa huyo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kagame was born to a Tutsifamily in Tambwe, Rwanda-Urundi in October 1957 toDeogratius and Asteria Rutagambwa. In November 1959, an increasingly restive Hutupopulation sparked a revolt, eventually...
0 Reactions
83 Replies
31K Views
Wakuu, nimekuwa nasononeka kila ifikapo mwisho wa juma au sikukuu kukosa pahala pa kujiliwaza mie mwenyewe na hata familia. Natumai mheshimiwa waziri alikuwa akienda kwenye kumbi hizo enzi zile...
0 Reactions
2 Replies
459 Views
Katika hali ya kustaajabisha, maiti za watoto wanaokadiriwa kuwa na umri wa siku moja au zaidi, zinazofikia idadi ya 11, zimefukuliwa katika shimo moja, jirani na maeneo ya hospitali ya...
0 Reactions
72 Replies
11K Views
KOCHA Mkuu Mpya wa Simba, Mfaransa Pierre Lechantre anayetarajiwa kuanza rasmi kazi ya kuinoa timu hiyo kesho Jumanne na kumwezesha kuingiza kiasi cha Sh42,000 kwa kila dakika 60 yaani saa limoja...
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Kwa jinsi siasa za nchi hii zinavyoendelea nimejikuta natafakari sana huu wimbo wetu wa taifa, nimetafakari maneno yaliyomo ndani yake. Baada ya kufikiri kwa kina huku nikiwa nimeshaisoma sana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kipindi cha 'Power Breakfast' kina Babra, PJ, Siza, Fredua, Philipp na Masoud ama KP. Tokea KP ajiunge tens na Clouds FM has a katika kipindi hiki cha PB huyu jamaa hawapi nafasi wenzie kutoa...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Ninatambua kazi nzuri unayofanya lakini ninapenda kukushauri kuhusu utendaji kazi wa Maasakari wa barabarani. Kwanza kabisa nikupe idadi ya vituo vya ukaguzi vya barabarani toka Jijini Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi yakitelezwa Tanzania basi uenda tukawa the best Africa asa kimaendeleo....mfano: 1.Kwanini Tanzania isiwe na industry tax free kwa grace period ya miaka mitano kwa viwanda vipya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom