Inawezekana huu ni mwendelezo wa wizi unaohalalishwa bila sababu za msingi
Nasikia kuna bodi ya kusimamia hii michezo bila shaka imeundwa na serikali
Watu wanaoshinda michezo hii ni wachache...
Shirikisho la Vyama Vya wafanyakazi Nchini, TUCTA, limekutana na baadhi viongozi wa serikali kujadili hatma ya watumishi waliondolewa kazini na Serikali kutokana na vyeti feki .
Ambapo Katibu...
Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa, kimeombwa kutoa msaada wa haraka kwa wakazi wa wilaya ya Chemba, ambao wamekumbwa na mafuriko yaliyosababisha kukosa makazi, baada ya nyumba zao kuathiriwa...
Imagine,ulikuwa umekwama,huna unalotegemea ndani ya uwezo wako linaloweza kukukwamua hapo ulipo,kila mtu unampigia simu unamkopa pay,anakwambia sina,na wengine ambao wamekwambia sina,sio kwamba...
Kichwa kimejivua hicho wana JF,
Hapa ninamaanisha media zote zilizoamua ama kuamrishwa kuwatangaza washindi wa kamari ya TATUMZUKA na BIKO kuwa wasitutangazie washindi pekee kanakwamba washindwa...
Majuzi nimesafiri kwa kujiendesha mwenyewe toka mikoani hadi Dar.
Kwa vile niliondoka huko Igunga mida ya saa tano hivi, kufika Dodoma tayari giza ilishaanza.
Kilichonistua ni si tu wingi wa...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amefunguka na kusema kuwa mabinti warembo na vijana wenye muonekano mzuri wanaweza kutumika katika kazi za ukarimu na kusaidia kuleta sifa...
Nimeona kwenye Habari za saa ITV...eti wakulima wamemsimamisha waziri kisa wadudu wa kawaida-funza wale wanakula mazao kule Iringa na Njombe wanaita MBENG'I ambao ukipiga dawa tu wanakufa,na ni...
Kama Uganda wamefanikiwa vifo vya uzazi kwa mwaka kinatokea kimoja naamini hata Tz tunaweza ikiwezekana hata kwa mwaka kisiwepo hata kimoja.
Inakatisha tamaa.
Kwanza hongera sana TIGO kubuni matangazo mazuri yenye mvuto na midundo asillia. Lakini sasa mmeniletea kizazaa nyumbani kwangu tena kikubwa.
Binti yangu wa mwaka mmoja akiliona tangazo lenu la...
Pamoja na kwamba Wilaya ya Rungwe ni miongoni mwa wilaya zenye mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji lakini cha kushangaza baadhi ya mitaa wakina mama wanajitwisha ndoo kichwani, miaka ya nyuma...
Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya...
Rais wa Marekani Donald Trump baada ya kupimwa, imebainika kwamba hana matatizo yoyote kiakili na ni buheri wa afya. Uwezo wake wa kufikiria uko sawa pia, daktari wake ikulu ya White House...
Natumaini wanajamvi wenzangu wote ni wazima wa afya.Bila ya kupoteza muda turejee katika mada yetu iliopo hapo juu.
Leo nlikutana na rafiki yangu nliepotezana nae kwa miaka mingi kutokana na...
Gari pekee la maji ya kuzimia majanga ya Moto yanapotokea linalohudumia mkoa wa Manyara wenye wilaya tano.
Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Manyara katika mwaka 2017 limefanikiwa kukusanya...
hallo wana jf,
naomba kuuuliza sababu hasa inayopelekea mtu pindi aondokapo nyumbani kwa wazazi au walezi wake kutorudi nyuma tena, hii kitu nimeona mara nyingi kwa watu tofauti, awe na maisha...
Habari waungwana,
Jamiiforums ina kila aina ya wachangia mada, wapo wanaopinga mada husika pia wapo wanaunga mkono mada maana imewafurahisha au kuwaelimisha. Kitu cha pekee ni uchangiaji wa mada...
Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha vifo vya watu wawili katika wilaya ya Kilosa huku ikiacha zaidi ya kaya 1734 zikikosa makazi baada ya nyumba kubomoka.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.