Ninatambua kazi nzuri unayofanya lakini ninapenda kukushauri kuhusu utendaji kazi wa Maasakari wa barabarani.
Kwanza kabisa nikupe idadi ya vituo vya ukaguzi vya barabarani toka Jijini Mwanza mpaka Sirari yaani mpaka wa Kenya na Tanzania.
Kutoka katikati ya Jiji kituo cha kwanza ni;
(1) Mabatini
(2) Buzuruga
(3) Nyakato
(4) Igoma
(5) Kisesa
(6) Nyanguge
(7) Lugeye
(8) Kahangara
(9) Magu
10) Mto Simiyu
(11) Mpaka wa Wilaya ya Magu na Busega
(12) Nasa Ginnery
(13) Nassa makao makuu ya Wilaya ya Busega
(14) Kalemera
(15) Lamadi
(16) Mto Rubana
(17) Bunda Police
(18) Bunda Manyamanyama
(19) ZeroZero
(20) Kona ya Mika (
21) Gamasara
(22) Bomani Tarime
(23) Tarime Mjini
(24) Nkende
(25) Remagwe
(26) Sirari.
Hapa kuna jumla ya vituo 26. Kwa mtu mwenye busara hakuna haja ya kuwa na ukaguzi kwa vituo 26. Tuchukue mfano kila kituo unatumia dakika 5 mara vituo 26 ni dakika 135 ukigawa kwa dakika 60 hapa mhusika mwenye gari amepoteza masaa 2 na dakika 25 toka Mwanza mpaka Sirari.
Ninajuliza hivi vituo vingi ni vya nini?. Kwa nini kusiwe na vituo vichache ili wenye magari waweze kuwahi shughuli zao?
Napendekeza vituo vifuatavyo ndivyo viwe vituo vya ukaguzi:-
(1) Mabatini
(2) Magu
(3) Lamadi
(4) Bunda
(5) Zero zero
(6) Tarime Mjini
(7) Sirari. Baada ya kupunguza hivyo vituo Maaskari wa barabarani wahamishwe kwenye Idara zingine.
Tusaidie IGP wewe unaijua njia hii na umewahi kuwa RPC wa Mwanza.