Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Kipindi cha 'Power Breakfast' kina Babra, PJ, Siza, Fredua, Philipp na Masoud ama KP. Tokea KP ajiunge tens na Clouds FM has a katika kipindi hiki cha PB huyu jamaa hawapi nafasi wenzie kutoa mawazo. Amekuwa 'dominant' kama yeye ndo muongoza kipindi, kali zaidi aje mgeni mualikwa hapo ndo anakera maana hamuachii nafasi ya kujieleza nasi kupata kile kilichompeleka hapo. Ombi langu kwake apunguze usemaji ambao hautusaidii bali kutupotezea muda tu na kupoteza maana ya kipindi.