Bonjour,
Hey guys nina imani mnaendelea vyema na juhudi za kusaka maisha kivyovyote vile(mpaka kieleweke).
Leo nimekuja na hoja hiyo hapo juu kwa wale wenye uzoefu.Unaweka jina la mkoa...
Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambacho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..!
Kadri temperature inavyo ongezeka chura...
Miji wa Kigoma ujiji hauna huduma ya maji kwa siku tano sasa baada ya mamlaka ya maji safi na taka kukatiwa umeme na hivyo mamlaka hiyo kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi hali ambayo...
Huwezi kuwa msomi au hata kama siyo msomi ukakubali kutukanwa na wewe unafurahia yale matusi na kushabikia basi lazima utakuwa punguani fulani wa akili kichwani.
Mtanzania yeyote anamyemshabikia...
Na Florian Kaiza
HUENDA ni jambo lisiloingia akilini kwa hali ya kawaida, pale mwenendo uonekanao ni dhambi kwa Mungu, kutetewa na mtu atambuliwaye na wengi ni Mcha-Mungu!
Hata hivyo, kwa mujibu...
Naomba kuuliza kuhusu ujenzi Wa stand ya mkoa pale mbezi Luis uliishia wapi? Mipango yooote ilikuwa ni bure? Naomba wahusika ambao ni jiji waje hapa watwambie.
JF Naipenda sana ndio maana nimeamua kuanza Eng. Cz, maana mara utasikia umeme wa Stigliers, FOREX n.k watu wanachanganya Lugha humu ndani si Mchezo hii ishu ya FOREX ndo imenipa hasira zaidi...
Mungu ni mwema niko na afya na mwenye nguvu, nakusalimuni nyote popote mlipo, amani iwe nanyi.
Naona mdogo mdogo watu wameanza kustuka kuhusu hizi dini, kwamba michango imekuwa mzigo makanisani...
Ni ukweli mtupu tunajidhalilisha wenyewe
1.Tunaweka nywele (mawigi) ili tufanane na wazungu kwa nini tusidharaulike?
2.Tunaweka mikorogo (kujichubua) ili tufanane na wazungu kwanini...
Wana JF leo nimeshuhudia usafi kabambe unafanyika pale jengo la NHC Mtaa wa Samora. Jengo zuri maridhawa kabisa lakini limejengwa kwa vioo na kuna floor za vioo zinatazama barabarani.
Kwanza...
Katika karne hii ya maendeleo makubwa ya sayansi na TEHAMA, watu binafsi na mashirika /taasi zinafanya bidii kutumia sayansi iliyopo ili kujenga mahusiano/mtandao na watu wengi iwezekanavyo ili...
Kufuatia sera ya elimu bure na kuzuiwa kwa michango mashuleni kumekuwa na mijadala kila kona yenye kusapoti na mingine kupinga hii sera kuwa huku ni kudumaza elimu kwasababu serikali haina uwezo...
It is easy to be popular. It is not easy to be just
(Rose Elizabeth Bird- November 2, 1936 – December 4, 1999; California Supreme Court Justice, for 10 years as the 25th Chief Justice of...
Habari za weekend
Mimi ni shabiki mkubwa wa the gentle giant siamini kabisa hiki kibao chake Cha hatarii kilinipita hivihivi. Yani Hadi Jana ndio nimekifaham. Alishajitabiria atakufa kwenye huu...
Wiki iliyopita nimeshudia style mpya kabisa ya kusherekea harusi, ambayo inanifanya niilete kwenu wadau mchangie kama inafaa kuigwa na kuendelezwa ama lah! Ipo hivi;
Kadi za mwaliko zilielekeza...
Pamoja na nia njema ya mheshimiwa Rais wetu ya kuwasaidia watoto masikini kutosumbuliwa na michango ila hili la kuzuia michango ya waalimu wa muda itaathiri sana ufundishwaji wa masomo ya sayansi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.