Heko 93.7 Efm

Heko 93.7 Efm

Nyamisangura

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
87
Reaction score
109
Hakika kipengele cha kunyamvua na kujumlisha,wakiwa wanasoma magazeti Maulidi Kitenge a.k.a chumvi,Gerald Hando,Musa Kipanya na Irene Kilenga wanajua kuyasoma na kudadavua bila uwoga wowote ni tofauti na media nyingine ambazo husoma vichwa vya habari bila kudadavua kidogo.Kipindi cha joto LA asubuhi huwa hawaogopi kutuletea habari yeyote bila hofu
 
Back
Top Bottom