Morogoro: Anatafutwa kwa kutupa watoto

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
6,954
9,857
IMG_20180111_173838.jpg
IMG_20180111_173759.jpg

Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake wawili,mkubwa ni wakike anamiaka 9 na wapili ni wakiume anamiaka 6,ambao kawazaa mwenyewe,boda aliwachukua na kuwapeleka mzumbe ambako kuna nyumba yao walikuwa wanajenga haijaisha ujenzi wake,na mumewe ambaye amefariki,boda aliwapeleka na kuwafikisha kwenye boma mzumbe ba akaondoka,maana alimwambia awatangulize na yeye anakuja,watoto walikaa nje mpaka Giza likaingia,ndipo walipoanza Julia,majirani walisikia vilio ndipo walipokuja kuwauliza na baadaye kuwachukua,baada ya kufatilia walipokuwa wanakaa ,wakaambuwa,mama yao alihama Jana kwenda mzunbe kwake,hadi sasa watoto wanaishi kwa msaada wa sisi majirani,inasemekana yupo Far,sehemu ya Bunju na mapinga,anaitwa maria Juma kalonga no mzaliwa was Babati,kabila mbulu ni mweupe, mrefu mnene wasitani,naomba tushilikiane ,namba yakesi MOR/RB/12915/17 ,au namba 0744993994 au 0687291444,zawadi ya sh.laki mbili itatolewa,tushilikiane kumtafuta Dada huyu,ili tutokomeze ukatili dhidi ya watoto ,naomba Uzi huh msiuondoe haraka.
 
View attachment 673137 View attachment 673139 Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake wawili,mkubwa ni wakike anamiaka 9 na wapili ni wakiume anamiaka 6,ambao kawazaa mwenyewe,boda aliwachukua na kuwapeleka mzumbe ambako kuna nyumba yao walikuwa wanajenga haijaisha ujenzi wake,na mumewe ambaye amefariki,boda aliwapeleka na kuwafikisha kwenye boma mzumbe ba akaondoka,maana alimwambia awatangulize na yeye anakuja,watoto walikaa nje mpaka Giza likaingia,ndipo walipoanza Julia,majirani walisikia vilio ndipo walipokuja kuwauliza na baadaye kuwachukua,baada ya kufatilia walipokuwa wanakaa ,wakaambuwa,mama yao alihama Jana kwenda mzunbe kwake,hadi sasa watoto wanaishi kwa msaada wa sisi majirani,inasemekana yupo Far,sehemu ya Bunju na mapinga,anaitwa maria Juma kalonga no mzaliwa was Babati,kabila mbulu ni mweupe, mrefu mnene wasitani,naomba tushilikiane ,namba yakesi MOR/RB/12915/17 ,au namba 0744993994 au 0687291444,zawadi ya sh.laki mbili itatolewa,tushilikiane kumtafuta Dada huyu,ili tutokomeze ukatili dhidi ya watoto ,naomba Uzi huh msiuondoe haraka.

Andika kwa utulivu kaka yangu umepaniki sana kiasi kwamba kuna typing errors nyingi sana. Hata hivyo umefanya kazi nzuri ya kuhabarisha umma kusaidia kumtafuta, Ila polisi watampata tu
 
View attachment 673137 View attachment 673139 Wanabodi,heri ya mwaka mpya,ndugu wanabodi,huyu Dada alikuwa anaishi morogoro mazimbu Malibu na chuo kikuu cha sua,tarehe 3/12/2017,alimwita dereva was bodaboda,akamwagiza awatangulize watoto wake wawili,mkubwa ni wakike anamiaka 9 na wapili ni wakiume anamiaka 6,ambao kawazaa mwenyewe,boda aliwachukua na kuwapeleka mzumbe ambako kuna nyumba yao walikuwa wanajenga haijaisha ujenzi wake,na mumewe ambaye amefariki,boda aliwapeleka na kuwafikisha kwenye boma mzumbe ba akaondoka,maana alimwambia awatangulize na yeye anakuja,watoto walikaa nje mpaka Giza likaingia,ndipo walipoanza Julia,majirani walisikia vilio ndipo walipokuja kuwauliza na baadaye kuwachukua,baada ya kufatilia walipokuwa wanakaa ,wakaambuwa,mama yao alihama Jana kwenda mzunbe kwake,hadi sasa watoto wanaishi kwa msaada wa sisi majirani,inasemekana yupo Far,sehemu ya Bunju na mapinga,anaitwa maria Juma kalonga no mzaliwa was Babati,kabila mbulu ni mweupe, mrefu mnene wasitani,naomba tushilikiane ,namba yakesi MOR/RB/12915/17 ,au namba 0744993994 au 0687291444,zawadi ya sh.laki mbili itatolewa,tushilikiane kumtafuta Dada huyu,ili tutokomeze ukatili dhidi ya watoto ,naomba Uzi huh msiuondoe haraka.
Wambulu nao ni wakatili hawa wadada. Mimi najua mmoja tulikua tunakaa naye akajifungua mtoto akatia chooni.
Mungu mkubwa baada ya masaa 24 mtoto anagundulika na kufanikiwa kuokolewa akiwa hai.
 
Huu uzi hauwezi ondolewa duh pole sana
wengine wanatafuta watoto kutwa kucha wengine wanatelekeza watoto wao kweli dunia hadaa

Nahisi itakua vyuma tu.!
Mungu awasaidie mumpate.
 
Wanawake wanaowalea watoto peke yao (Single mothers) wanatakiwa kupata msaada wa tiba ya akili na ushauri nasaha haraka iwezekanavyo pale anapoonyesha dalili za kukata tamaa ya maisha.
Maana mwisho wake maamuzi huwa ni ya ajabu sana na kusikitisha.
Haya matukio ya ukatili wa kina mama kwa watoto yanaongezeka kwa kasi sana katika jamii.
Ustawi wa Jamii na Vyombo vya Dola inatakiwa washirikiane kwa pamoja kutokomeza haya matukio ya kinyama kwa watoto. Mungu awafanyie wepesi hao watoto.

Asante mleta mada kwa taarifa. Ubarikiwe sana.
 
Mods,ule uzi niliouleta hapa jamvini,wa mama kutelekeza watoto,mkoani morogoro,naomba muiunganishe picha hii,tumefanikiwa kupata yenye muonekano mzuri,naomba msaada wenu watoto wanaishi kwa msaada wa majirani,0744993994,0687291444. FB_IMG_1515688595629.jpg
 
Wanawake wanaowalea watoto peke yao (Single mothers) wanatakiwa kupata msaada wa tiba ya akili na ushauri nasaha haraka iwezekanavyo pale anapoonyesha dalili za kukata tamaa ya maisha.
Maana mwisho wake maamuzi huwa ni ya ajabu sana na kusikitisha.
Haya matukio ya ukatili wa kina mama kwa watoto yanaongezeka kwa kasi sana katika jamii.
Ustawi wa Jamii na Vyombo vya Dola inatakiwa washirikiane kwa pamoja kutokomeza haya matukio ya kinyama kwa watoto. Mungu awafanyie wepesi hao watoto.

Asante mleta mada kwa taarifa. Ubarikiwe sana.
Ahsante mkuu
 
FB_IMG_1515688595629.jpg wanabodi,Jana nimeleta Uzi was mwanamke kuwatupa watoto mkoani morogoro,lakini uongozi was jamii forums ,hawajaupa kipaumbele wameushusha chino kabisa,,naomba uongozi wa jamiiforums uone umuhimu,kwani hili nitukio kubwa zidi ya ukatilii na unyanyasaji wa watoto,unganisheni Uzi huh na ule wa Jana na muuache msitali wa mbele.
 
View attachment 673620 wanabodi,Jana nimeleta Uzi was mwanamke kuwatupa watoto mkoani morogoro,lakini uongozi was jamii forums ,hawajaupa kipaumbele wameushusha chino kabisa,,naomba uongozi wa jamiiforums uone umuhimu,kwani hili nitukio kubwa zidi ya ukatilii na unyanyasaji wa watoto,unganisheni Uzi huh na ule wa Jana na muuache msitali wa mbele.
Labda ungeweka na Picha ndiyo watu watauchangia uzi wako kwa hiyo hauwezi kushuka chini
 
mkuu hujafafanua anawatupa watt gan, wachanga anaojifungua au watt wa majiran na kwa nn anawatupa hebu tupe ufafanuzi kidogo
 
mkuu hujafafanua anawatupa watt gan, wachanga anaojifungua au watt wa majiran na kwa nn anawatupa hebu tupe ufafanuzi kidogo
Ukisoma Uzi kwa makini na utulivu hayo yote uliyouliza mleta mada aweyaweka bayana mkuu.
 
Huyu Mwanamke hata hofu ya Mungu hana, ameshindwa hata kurudi Kijijini kujipanga upya na Maisha? Hiyo ya kutelekeza Watoto ndio ameona ni njia sahihi!
 
Back
Top Bottom