Chadema hili halikwepeki!

Chadema hili halikwepeki!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Tanzania tumenunua ndege, chadema na Tundu Lisu wakaamua kupigania Muzungu akamate Ndege yetu kwa sababu Muzungu anatudai, huyu ni Mtanzania kafanya hivyo, sababu ni kwamba anamchukia Raisi Magufuli yaani alitaka kumkomoa Raisi Magufuli halafu kuna watu wanamuita Tundu Lisu intelligent na wanataka awe Raisi wa TZ yetu!

Makampuni ya Migodi yameiba Rasilimali zetu, Serikali yetu inachukuwa hatua chadema, Tundu Lisu, Zito Kabwe & Co. wanakuwa upande wa Muzungu na kuanza kututisha ili tuache Muzungu aendelee kutuibia, kwanza wanapigana kuliko hata Muzungu mwenyewe, sabotage yote hii dhidi ya nchi yetu!

Tunapata matatizo chadema na Tundu Lisu wanakwenda kwa Muzungu kumuomba aingilie kwani yeye Muzungu ndo pekee anayeweza kutenda haki!

Fikiria hilo, yaani Mzungu, China, Mjapani au hata Mwarabu aende nchi ya kigeni kulobby na foreign governments dhidi ya nchi yake, chukuwa tu sekunde chache kulifikiria hilo, hlf labda utaelewa maneno kama ,,shithole” yanatokea wapi, ...
 
Leo umeamka na tundu lissu bila shaka umetiwa mimba yake pole ulee tu hiyo mimba
 
Tanzania tumenunua ndege, chadema na Tundu Lisu wakaamua kupigania Muzungu akamate Ndege yetu kwa sababu Muzungu anatudai, huyu ni Mtanzania kafanya hivyo, sababu ni kwamba anamchukia Raisi Magufuli yaani alitaka kumkomoa Raisi Magufuli halafu kuna watu wanamuita Tundu Lisu intelligent na wanataka awe Raisi wa TZ yetu!

Makampuni ya Migodi yameiba Rasilimali zetu, Serikali yetu inachukuwa hatua chadema, Tundu Kisu, Zito Kabwe & Co. wanakuwa upande wa Muzungu na kuanza kututisha ili tuache Muzungu aendelee kutuibia, kwanza wanapigana kuliko hata Muzungu mwenyewe, sabotage yote hii dhidi ya nchi yetu!

Tunapata matatizo chadema na Tundu Lisu wanakwenda kwa Muzungu kumuomba aingilie kwani yeye Muzungu ndo pekee anayeweza kutenda haki!

Fikiria hilo, yaani Mzungu, China, Mjapani au hata Mwarabu aende nchi ya kigeni kulobby na foreign governments dhidi ya nchi yake, chukuwa tu sekunde chache kulifikiria hilo, hlf labda utaelewa maneno kama ,,shithole” yanatokea wapi, ...
Hao Tundu Lissu na Mbowe ndio waliosimamia Kesi huko mahakama za Kimataifa?
 
Tundu Lisu aliwashauri kukamata Ndege yetu, Wazungu wala hawakuwa na nia hiyo yeye akawapa cha kufanya!
Wee mkuda, hujalamba morututu bado?
e3701a1532914f30e57d42ab11e9764c.jpg
 
Nina mashaka na uelewa wako mkuu, swala la bombardier kukamatwa Canada siyo ya Tundu Lissu wala Chadema kumshawishi mzungu kama unavyo sema....! Tundu Lissu yeye aliitaarifu jamii na UMMA wa watanzania juu ya kile kilicho kuwa kikifanywa siri na serikali ya Magufuli baada ya mda tulioambiwa kuwa bombardier ingewasili nchini kupita bila bombardier kutua JNIA.

Sababu za kukamatwa kwa bombardier ilitokana na hukumu ya mahakama baada ya aliyekuwa waziri wa ujenzi na serikali kushindwa kesi ya kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo bila kufuata taratibu, hatimae mlalamikaji akashinda kesi na kupelekea kukamatwa kwa bombardier yetu.

Tanzania ni ya watanzania wote, kila mmoja bila kujali itikadi zetu za vyama na imani zetu za kidini lazima tuzilinde na kuzitetea kwa nguvu zetu zote Rasilimali za Taifa letu kwa manufaa ya wote na vizazi vyetu huko mbeleni.
Makampuni ya uchimbaji madini kuliibia Taifa rasilimali zake kwa namna yoyote ile; hilo ni jambo baya la kukemewa, kupingwa na raia wa nchi yetu, hivo serikali kuchukua hatua dhidi ya hao wawekezaji ni jambo zuri hivo hatuna budi kulipongeza serikali kwa hatua hizo.

Tundu Lissu/Chadema na wengine uliowataja hawajawai kuwa tetea wezi wa rasilimali madini yetu, na kupinga serikali kuwadhibiti na kuwachukulia hatua, bali walichokuwa wakilipigia kelele na bila shaka hata leo mimi na wewe yatupasa tuungane nao pamoja kuwa; si tu serikali iwachukulie hatua bali serikali iwachukulie hatua SAHIHI na madhubuti ili kuepukana na yaliyopelekea bombardier kukamatwa huko Canada.

Kuwaambia mataifa na dunia kuingilia maswala ya nchi yetu ni kutokana na mambo na changamoto nyingi ambazo zinalikumba Taifa bila kupatiwa ufumbuzi, mfano ni kuminywa kwa democracy nchini, uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza, watu kutekwa/kupotea bila majibu, kuokotwa kwa miili ya watu kwenye fukwe za bahari, watu kupigwa risasi mchana kweupe, na hakuna majibu ya kueleweka hivo si vibaya kuomba msaada kwa mataifa mengine kutusaidi.
 
Back
Top Bottom