AJABU: Mjukuu kumuoa bibi yake, tujadili wakuu.

AJABU: Mjukuu kumuoa bibi yake, tujadili wakuu.

Drjacka92

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
445
Reaction score
523
Salaam!.
Direct Kwenye Mada wakuu,. Kwa Huku kwetu uswahilini kuna jambo flani linaendelea nimeona tulijadili kwanza.

Hiki kitendo cha Mjukuu wa kiume kuitwa mume Na bibi yake ambaye amemzaa baba yake, au Mjukuu wa kike kuitwa mke Na baba wa baba yake , kidogo kinanichanganya, logic yake hapa imekaaje wakuu?.

Angalizo: Hii ni kwamujibu wa Huku kwetu uswahilini, huko kwenu Inawezekana haiko Hivi, karibu.
 
Hilo lipo sana mara kuna kijiji kipo ndani sanaaa kinaitwa manila maji kwanza wanatumia ya ziwani kisimani mwiko
Wazee wakike wakilewa wanapigwa sana mambo na vijana walevi na hata kupelekea kuchukuana.
 
Angalizo: Hii ni kwamujibu wa Huku kwetu uswahilini, huko kwenu Inawezekana haiko Hivi, karibu.


Tutumie usafiri tuje hapo tufanye utafiti vinginevyo tutakuwa hatukupi jibu sahihi
 
Back
Top Bottom