Kwa nini ,,wanaoipigania” Zanzibar ni Wabara?

Kwa nini ,,wanaoipigania” Zanzibar ni Wabara?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Hili jambo hunishangaza sana, walio na kimbele mbele cha kujifanya kujua matatizo ya Zanzibar ni watu wa Bara, hii ni ajabu kwa kawaida ilipaswa Wanzanzibari ndo wajae hapa JF kuongelea kupendezwa au kuchukizwa kwao na Muungano!

I mean, kwa mfano huwezi kusikia Wazungu wa England wakijishughulisha na mambo ya Scotland bali wanaojishughulisha na mambo ya Scotland ni Wascotish wenyewe kwa maana ndo waathirika, sasa wewe Mbara Mapinduzi ya Zanzibar yanakuhusu nini?

Na kwa nini Wabara ndiyo wanawachochea Wanzazibari watake kujitenga?
 
Zanzibar imekuwa koloni la Wanaccm wa bara kwa miaka mingi.
 
Kwa sababu," Kitanda usicho kilalia huwezi kujua kungun wake wakoje".
 
Maaskini Wazanzibar...Allah awasaidie...
 
Back
Top Bottom