Rejeeni tangazo la uuzwaji wa viwanja kwa kupitia serikali ya vijiji.
Mi binafsi nimeshuhudia mgogoro mkubwa wa viwanja kange kasera kwa watu walionunua kuputia serikali ya kijiji kwani mwenye...
Kwa wale ambao mnaishi kwenye apartment za NHC, hasa katika jiji hili la Dar es salaam, You can share your experience with us. Gharama zipoje?, vitu gani mnafurahia, vitu gani vinawakera, huduma...
Hi greatest thinkers,
Nimeanza ujenzi kijijini sasa hivi nyumba ipo kwenye lenter navuta nguvu nyingine nimalizie.Tatizo kuna baadhi ya watu kijijini wananibeza eti ninajenga chaka bora...
HUJAFA hujaumbika na siku zote Mungu ni mwema na Mungu ana makusudi yake ni wa ajabu kwa sababu maajabu yake ni makubwa na ukuu wa Mungu unajidhihirisha katika muujiza wa watoto mapacha...
Wana janvi la JamiiForums naomba kufahamu kwanini Serikali hii a awamu ya tano imeshindwa kutengeneza miundombinu katika swala zima la elimu naomba nijikite zaidi katika elimu yenye mahitaji...
Tunaishukuru Serikali yetu kwa kupiga marufuku michango katika shule zetu za Msingi na Sekondari lakini pamoja na nia nzuri lakini kuanzia sasa Serikali ione umuhimu wa kupeleka fedha ya chakula...
Hivi ni haki kwa wananchi kukosa huduma ya maji eti kisa KUWASA hawajalipia bili ya Umeme?
Je bili ya Umeme nani analipia?
Kwa ufahamu wangu navyofahamu,
mwananchi ndio analipia.
KUWASA lipieni...
Kamati ya maadili imetoa uamuzi juu ya mashauri yaliyowasilishwa kwake na sekretarieti ya TFF yakiwahusu viongozi wanne wa soka wakituhumiwa kughushi na kufanya udanganyifu katika mapato ya mchezo...
Upelelezi wafanya vigogo wa kampuni ya mawasiliano ya SIX TELECOMS akiwamo Dk. Ringo Tenga kuendelea kusota rumande,Tenga na wenzake watatu wanakabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha
Amani iwejuu yenu ndugu wanajamvi,
Kama kichwa cha mada kinavyo sema sisi tulio ishia formm four tukitaka kujilipua kwenda US tunaweza kujiendeleza kielimu kweli!.
Hususani kwenye kozi za...
Kiukweli tunakubali kabisa kwamba tulichukua mikopo kipindi tunasoma elimu ya juu na tunapaswa kuirejesha ili wengine waweze kukopeshwa lakini hizi asilimia 15% zilizoongezwa kutoka asilimia 8%...
Mamalaka ya mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ wanazindua Mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye na Waziri wa...
Gazeti la Forbes limemtangaza Mo Dewji kuwa anayeongoza kama Bilionea Africa Mashariki.
Naomba kufungua mjadala kwani mpaka sasa mie binafsi sioni kigezo kilichotumika kumpa huyu dogo hiyo...
JE NI WAKATI GANI NISIMAME KWENYE ZEBRA CROSSINGS AU JE NI AMRI KUSIMAMA KWENYE ZEBRA HATA KAMA HAKUNA MWENDA KWA MIGUU ANAYEVUKA? Sheria inasemaje?
Sheria ya usalama barabarani kifungu cha 65...
KAMANDA WA POLISI MKOA WA KAGERA, AGUSTINE OLLOMI.
MWILI wa Betia Felix (18) mkazi wa Kijiji cha Nyakatete, wilayani Kyerwa mkoa wa Kagera, umeokotwa ukiwa umekatwa matiti na kufungwa kamba...
Nimekuwa nikiusikia huu usemi wa 'Tigo hao wanapita' muda sasa toka Polisi kupewa pikipiki wakiwa wawili wawili na kuzunguka mitaani kwa ajili kulinda na kufuatilia matukio na wale wanaovunja...
Hawa police wa usalama barabarani bado ni kero kwa wenye magari. Wamekuwa si watu wa haki badala yale ni watu wa dhuluma na uonevu. Maana imekuwa sasa hivi ni mwendo wa cheti tu.
Gari ikiwa na...
Ukosefu wa takwimu zinazojitosheleza za meli, maeneo ya bahari zinakoendesha shughuli za uvuvi umekuwa kikwazo kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania kukabiliana na uvuvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.