Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arusha: Mawasiliano ya barabara inayounganisha Wilaya za Monduli na Karatu katika eneo la Makuyuni imekatika kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo. Hakuna gari inayoweza kutoka...
4 Reactions
75 Replies
12K Views
Wafanyabiashara wawili, Antonia Zacharia na Timoth Kilumile wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 10 kwa kujipatia...
3 Reactions
65 Replies
17K Views
Karibu mwenye ufahamu zaidi juu ya hii mikoa miwili, Kiuchumi na Kijamii!
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Mamlaka ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa na moto uliosababishwa na kupasuka kwa bomba la gesi eneo la Buguruni kwa Mnyamani wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madaktari wameonya kwamba kuzuia kupiga chafya kwa kufunga pua na mdomo kunaweza kukusababishia madhara makubwa. Hii inajiri baada ya madaktari mjini Leicester kumtibu mtu mwenye umri wa miaka 34...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello Wana JF natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa . Naomba msaada Kwa mtu anayejua namna ya kutoka Arusha mpaka kigoma natumia usafiri wa private .Gari ninayotumia Ni Landcruase Prado...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi, Kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka Dar kwenda Mwanza kwa njia ya barabara anifahamishe, maana nataka nifahamu ili niweze kutenga bajeti nzuri ya mafuta kwani sijawahi...
2 Reactions
158 Replies
83K Views
Ajali imetokea usiku wa kuamkia leo.Chanzo cha ajali inasemekana ni mwendo wa dereva wa lori hilo la mafuta ambaye alikuwa kwenye mwendo mkali kuelekea kwenye daraja hilo ambalo ni jembamba lenye...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
TANGAZO St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018. Kwa nini St. Raphael? 1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro 2...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
TANGAZO St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018. Kwa nini St. Raphael? 1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro 2...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
TANGAZO St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018. Kwa nini St. Raphael? 1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro 2...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Wadau, Kuna Bahati Nasibu mpya imeingia inaitwa TATU MZUKA. Sina uhakika ni kampuni gani hasa inayochezesha hii Bahati Nasibu ila kila nikiiangalia uchezeshaji wake naona kabisa kuna kitu hakiko...
3 Reactions
35 Replies
27K Views
Naomba msaada wana jf wa guest za kulala naenda tabora chuo cha utumishi wa umma nipo kwenye muro na tabora ndo Mara ya 1 kufika, kama kuna MTU anajua guest ya kulala kuanzia 15-20 unaweza ukani...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Natumai wote muwazima, na pia familia zenu, na marafiki wanaendelea vyema. Mimi nina swali linanitatiza juu ya uhamiaji, nimeomba passport baada ya kupotea mbaya zaidi wameizuia kwa muda wa miezi...
0 Reactions
62 Replies
11K Views
Hifadhi ni muhimu ndani ya jamii na kwamba katika mpango wa matumizi bora ya ardhi hifadhi ni sehemu ya mpango huo Kumekuwepo na malalamiko ya wakulima Kiteto kuhusu uanzishwaji wa hifadhi...
0 Reactions
1 Replies
622 Views
heshima kwenu wakuu. leo mm namulaani shetani kwa lugha ya kwetu, shetani huna mamulaka mbinguni na duniani shetani udenabudula ngwilunde na hase. twende tukamlaani shetani mpaka akome.
0 Reactions
7 Replies
988 Views
Habari wana JF... Hope mpo poa, ambao mpo kazini poleni na kazi na kazi njema ambao mpo vijiweni namatakia mcha mwema.. Km heading hapo au mada hapo naomba kujua.. nini maana ya mwaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana katika mahakama ya Mwanza walifikishwa watu wawili waliopora na kuhujumu nchi kwa kutumia kalama mali ya Nyanza. Watu hawa wawili ni Anatory Zacharia na Kilumile wote wakiwa wanachama wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
1.Ni rahisi kupanda cheo. Mwaka 2010 kaka yangu alipangiwa kazi mkoa mmoja hakuchukua hata miaka 5 akawa mkuu wa idara wenzake waliobaki DSM hadi leo wako pale pale. 2. Fursa za kusoma. Watumishi...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Inawezekana huu ni mwendelezo wa wizi unaohalalishwa bila sababu za msingi Nasikia kuna bodi ya kusimamia hii michezo bila shaka imeundwa na serikali Watu wanaoshinda michezo hii ni wachache...
24 Reactions
209 Replies
21K Views
Back
Top Bottom