ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J: PM kichocheo cha kukua kwa uchumi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.