Wanabodi,
Kuna hoja nyingi huwa zinaibuliwa humu JF kuhusiana na sisi waandishi wa habari, kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha na sio...
Habari,
Kwa takribani miezi miwili kwa vipindi tofauti tofauti maji ya DAWASA upande wa Mbezi Beach yamekuwa yakitoka na rangu nyeusi au yawe machafu ambapo ukikinga kwenye ndoo au tank baada ya...
Huku labda uwe unakula mihogo tu.
Chips kavu 2,500/= hapa nimeagiza Chips yai sijui itakuja bei gani?
Hafu sehemu local tu wala sio ushuani.
Hii sumu 1,200/=
Hapo Shoppers 850/=
Huku ila...
mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁
Point yangu kubwa...
𝐍𝐀𝐁𝐈𝐈 𝐈𝐒𝐀𝐘𝐀 𝐀𝐋𝐈𝐓𝐎𝐀 𝐔𝐍𝐀𝐁𝐈𝐈 𝐊𝐔𝐖𝐀 𝐁𝐀𝐁𝐄𝐋𝐈 𝐇𝐀𝐈𝐓𝐀𝐉𝐄𝐍𝐆𝐖𝐀 𝐓𝐄𝐍𝐀.
Alitoa unabii huu takribani mwaka 700 KK hadi 689 KK, yaani zaidi ya miaka 150 kabla Babeli haijaanguka.
Akasema
“Babeli... itakuwa kama...
Na Mwandishi Wetu
Manyara. Kampuni ya Mati Super Brands Ltd imeibuka kinara katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika kimkoa mwaka 2026, baada ya kuonesha ubunifu wa hali ya...
Katika mjadala wa maendeleo ya sekta ya afya na usalama kazini nchini Tanzania, jina la Akwilina Victor Kayumba haliwezi kupuuzwa. Ni miongoni mwa wataalamu waliopitia safari ya kitaaluma yenye...
Tunazaana, tunaishi ( iwe kwa mbinde au soft life) halafu tunakufa. Hatujui tunakufa lini na tunaenda wapi. What if we are raw materials for some higher beyond human intelligence creatures? 🤔...
Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day
Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town...
Kuna shughuli hatarishi zinaendelea katika maeneo ya Kishiri na Fumagila kutokana na uchimbaji holela wa mchanga. Hali hii inaleta madhara makubwa kwa mazingira na usalama wa jamii.
Ni wakati wa...
Kuna barabara ya kutoka hapa Njia Panda ya Tegeta A hadi posoposoa ni kero sana tena kipindi hichi cha mvua
Yani barabara hii ilianza ujenzi wa awali tu miezi miwili nyuma, na tangu hapo hakuna...
Watu wawili wanadaiwa kufariki dunia baada ya kugongwa na gari walipokuwa wakisafiri kwa pikipiki, kufuatia gari hilo kupoteza mwelekeo, kuacha njia na kutumbukia mtaroni.
Wakizungumzia tukio...
May 2 2026
Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani
Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha...
Niliona kwanza kuwa Yanga anaishinda mechi hii kwa goli 1. Ila baadaye nimeona kuna waganga wengi wamejitokeza kusema Yanga ataishinda.
Sasa nataka nami nichezeshe mechi hii kama mwenye timu, ili...
Kwanza ukiwa unataka ku bashiri matokeo ya kesho unatakiw kwanza kujiuliza kitu cha muhimu
- je nina bet kwaajili ya kupata hela au nabeti for fun ?
Kama lengo lako ni kupata hela, derby...
Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo...
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.
Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto nane lakini unakuta watu wanaamua kuzaa...
Heshima sana wanajamvi.
Baada ya kuboronga katika hukumu zake kiasi hata mimi fundimchundo nilifahamu na kuelewa kwamba huyu Mwanga Mzanzibar uchwara hana sifa za ujaji.
Kwakuwa mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.