Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina...
Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo.
Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo...
Mfumo wa elimu wa Tanzania hauweleki Wala Hauna manufaa Kwa watanzania walio wengi kijana anasoma Hadi ngazi ya degree lakini hajui afanye nini Baada ya hapo
Wataalamu wanasema huo mfumo...
Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu.
Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi.
Sasa hivi ofisi za umma parking...
BANGI .Kitaalamu Mmea huu unaitwa Cannabis Sativa au Marijuana.Majina mengine ni Bangi ,Ganja,Hashish nakadharika.
Mmea huu ni mdogo wenye majani yake malaini kama unavyowezakuona kwenye picha...
Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara.
Angalizo! Mawazo ya mwandishi...
My Take
Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao.
Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇
====
Tanzania imeandika historia mpya...
Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu.
Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu?
Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema...
Kulingana na viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na LATRA, nauli ya kutoka Pangani kwenda Tanga iliipaswa kuwa 3,377/= au 4000/= kwa barabara ya vumbi. Sababu umbali wa kutoka Pangani kwenda...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika...
😅😅 Watu wengi mitandaoni wanasema Trump anafanya mambo ya kitoto kujaribu kuiga/kuimitate trans weightlifter (wanaume waliobadili jinsia kuwa wanawake na kwenda kushindana na wanawake kwenye...
Mkuu Pasco shalom
Najua nikisema nawe hapa utawaambia na wenzako .Hivi hii tabia ya kupewa bahasha ndiyo habari ziandikwe kwenye magazeti na TV zenu ina manufaa gani kwa Taifa ? Nasema haya nikiwa...
Huyo hapo juu ni aliyekuwa mwandishi wa habari na mwakilishi wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, mkoani Iringa, marehemu Daudi Mwangosi. Mwangosi, ambaye alikuwa pia Mwenyekiti wa Klabu ya...
Wanabodi,
Kuna hoja nyingi huwa zinaibuliwa humu JF kuhusiana na sisi waandishi wa habari, kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha na sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.