Jaji Hamidu Mwanga bado ana sifa za ujaji?

Jaji Hamidu Mwanga bado ana sifa za ujaji?

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,402
Reaction score
38,009
Heshima sana wanajamvi.

Baada ya kuboronga katika hukumu zake kiasi hata mimi fundimchundo nilifahamu na kuelewa kwamba huyu Mwanga Mzanzibar uchwara hana sifa za ujaji.

Kwakuwa mamlaka ya uteuzi wake haitaki kimwondosha.

Kwakuwa kainajisi Mahakama Kuu Tanganyika.Je hakuna sheria au kanuni ambazo tunaweza kuzitumia kumfutusha Mwanga au kumrejesha kwao Zanzibar !.

Ikiwa hakuna sheria hiyo basi Katiba mpya isisahau kuweka kipengele cha kuwatimua majaji uchwara kama Mwanga.
 
Back
Top Bottom