Hivi ukikaa kimya mtandaoni watu wanafikiri umefulia !? SMH , kuna rafiki zangu waliacha kunipigia simu nilivyokuwa offline nilijifunza mengi na nikatambua watu wepi ni muhimu kwenye maisha...
Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba
Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la...
Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya.
Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee...
Unaishi Tanzania, aidha mijini au vijijini. Huenda ni mwanachuo, unaenda chuo Jumatatu hadi Ijumaa, au umeajiriwa unaenda kazini Jumatatu hadi Ijumaa au umejiajiri, unafanya kazi muda unaotaka...
Nimepigiwa simu na taasisi inayojiita Platinum Credit wanatoa Mikopo
Je hiyo taasisi ni kweli wanasema Wapo Morocco, Dar es Salaam niwatumie password za ESS
Mimi ni ajira mpya
Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi...
Abiria na kondakta wa daladala wameingia kwenye mzozo wa kurushiana ngumi na kushikama mashati kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya ya Sh 700 katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia...
Katika kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Mei 3, 2026, hali ya uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania imeelezwa kuendelea kuzorota.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
Kuna ushahidi wa kupinga hili au ni mihemko ya kijinga tu ya waalimu?
Nimesoma advance kabla ya smartphones.
Shule yetu ilikuwa kijijini, mji mkubwa ulikuwa kama 120 km hivi. Pale shuleni karibu...
Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu.
Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri...
NGUVU HIYO KUBWA YA KIROHO ILIYO NYUMA YAKE NDIYO INAYOMSUKUMA.
1) Kupenda kusimamia HAKI na UKWELI ,kiu ya kuona utawala wa HAKI na USAWA kwa misingi ya sheria na katiba.
2) Kupenda kuona...
Kuna bajeti imepitishwa hadi sasa ya kuunda Katiba mpya?
Bunge la chama kimoja liunde katiba?
Wabunge vilaza wamekalia uchawa tu kusifiasifia tu matumbo yajae
Mambo ya tume ya ccm kuchunguza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.