Mithali 23:20-21
"Msiwe miongoni mwa walevi wa divai, wala wale wanaokula nyama kupita kiasi; kwa maana mlevi na mpenda kula atitika, na nguo zitakuwa matope."
Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana.
Halafu zile informal settlements ambazo...
Jana Aprili 2, 2026 niliona stori Mtandaoni kuwa abiria na kondakta wa daladala wametwangana makonde kutokana na kutoelewana kuhusu nauli mpya katika safari ya Mbezi Makumbusho kupitia barabara ya...
Yasemavyo maandiko kuhusu ushoga
Ushoga ni nini
Ushoga ni ile hali ya mwanaume au mvulana kujihusisha kingono na mwanaume au mvulana mwingine kinyume na maumbile.
Uhusiano wa jinsia moja katika...
Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti.
Badala ya mtu ku-focus...
Nadhani tuna safari ndefu sana kujulikana kimataifa sijajua kwa upande wa western countries sana ila ukanda wa cental asia na southern asia na oceania countries bas Tanzania haijulikani kabisa...
Mikopo ya Hazina ndiyo imekufa? Dodoma Jiji tumeomba tangu 2025 hakuna majibu.
Kulikuwa na ile mikopo inayotoka Hazina yenye riba nafuu kwa Watumishi... Tangu Mwaka 2025, Dodoma Jiji hatuoni hiyo...
Habari za mwezi mpya huu wa 5.
Sijaingia hapa jukwani tangu mwisho wa mwez huu.
Sijui huko mei mosi wameahidi nini, je watumishi wa umma matumaini yako wapi na bei hizi?
Huku mtaani hali ni...
Serikali mmefanya jambo zuri kuweka kufunga public WIFI masoko makuu na stendi lakini cha ajabu mmeweka password , lengo lenu kuweka ilikuwa ni nini kufunga WIFI kwa matumizi yenu binafsi?
Kama...
Siijawahi kuona tajiri akiangushwa na mapepo kanisani ila masikini na wenye viator vya kati sasa 😂 😂 😂
Automatically ukiwa masikini
unamapepo 😂
Vipi mdau umeshawahi ona tajiri anaangushwa na mapepo?
Jamii mtupazie sauti CRDB Call Center hawapokei simu, yaani kwakifupi sisi Wateja si kitu pindi unapopata dharura.
Ukipiga Call Center inahitaji dakika 10 au zaidi waweze kupokea na mara nyingine...
Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze.
Mvua zimenyesha sasa imekuwa...
Nimesoma nao, nimeishi nao na hata hivi sasa nafanya nao Kazi. Hakuna Watu wanaoichukia Tanzania, wanaoidharau Tanzania, wanaotutusi Tanzania hadi wakitunanga kuwa Elimu yetu ni duni.
Rais Samia...
LATRA anzisheni ruti ya ILALILA – KISESA (Mwanza), nauli zimepanda tunatumia gharama kubwa kuzunguka
Nilikuwa naomba LATRA watuanzishie route mpya kutoka ILALILA kwenda KISESA hata kama itakuwa...
Hatupangiani namna ya kuishi kwenye ndoa zetu. Kwanza sihudumii ndoa yako na sina mchango wowote ule kwenye familia yako Bro.
Lakini kijamii bado naiona sio sawa hii!... Mkeo kila kukicha...
Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.