Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu...
4 Reactions
6 Replies
178 Views
Hivi karibuni kumeibuka wimbi jipya la kitapeli ambalo limeacha mamia ya Watanzania wakilia na kusaga meno. Ukiwa unaperuzi Facebook, unakutana na tangazo lenye mvuto wa kipekee: Ukurasa wa "Dar...
4 Reactions
17 Replies
405 Views
Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green...
20 Reactions
268 Replies
28K Views
Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa? Ilikuwaje kuwaje vazi la kaunda suti kuanza kutumika tanzania? Kwanini limekuwa maarufu kwa viongozi hasa wabunge? Kwanini sehemu kama chuo cha CFR...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Akizungumza...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo...
6 Reactions
16 Replies
517 Views
SONGWE: Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
166 Views
Kesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja. Theluthi mbili...
3 Reactions
22 Replies
642 Views
Enzi zetu mtu akiwa na VIDOLE BAPA anaitwa MAGUSU. Kumbe hatukujua hao watu wana ukoma. Baada ya kupitia misuko suko mingi nikajikuta vidole vyangu vinazidi kuwa bapa. Sijui nimerogwa? Vidole...
15 Reactions
32 Replies
471 Views
Katika video hii, mchambuzi anajaribu kutumia tukio la Neil Armstrong kukataa kushika Biblia na kuapa kama ushahidi wenye mashiko kwamba kutua mwezini (Moon Landing) lilikuwa uwongo. Mchambuzi...
6 Reactions
85 Replies
1K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/mimea-tiba-kupitia-mimea-ya-majumbani.2304825/post-55984166
3 Reactions
4 Replies
215 Views
MADA: NABII YULE NI NANI? Nimeleta mada hii kutokana na UPOTOSHAJI wa masheikh na waislamu wengi , "NABII YULE NI NANI", mada hii nimewahi kujadili na masheikh ndani ya msikiti kipindi nawapiga...
4 Reactions
11 Replies
502 Views
Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa: Watu wengi wanafundisha mambo nyeti...
9 Reactions
12 Replies
306 Views
Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Hapa naongea na watu wenye miaka 35 na kuendelea, vijana wa hovyo hovyo kama Holoholo-Baba Kijacho hapa mkae kimya ila msome coment kuna kitu mtajifunza, Je ulifanya maamuzi gani in your 20's...
6 Reactions
16 Replies
363 Views
JINSI YA KUWA JASUSI WA KUJITEGEMEA; NA ITAKAVYOKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU HASA KIUCHUMI NA KIJAMII. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nianze kwa kusema mimi sio jasusi, sijawahi...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Dr Seran na dr dosho12 what happened here?
7 Reactions
8 Replies
257 Views
Mithali 23:20-21 "Msiwe miongoni mwa walevi wa divai, wala wale wanaokula nyama kupita kiasi; kwa maana mlevi na mpenda kula atitika, na nguo zitakuwa matope."
3 Reactions
36 Replies
340 Views
Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana. Halafu zile informal settlements ambazo...
3 Reactions
17 Replies
316 Views
Back
Top Bottom