Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za Jioni wakuu! Kama kichwa cha somo kinavyoeleza,namtafuta Gungu yetu kwa muda sasa bila mafanikio niwaombeni wanajukwaa kama kuna anaemfahamu ampe taarifa hii au kama amebadili ID...
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Leo nimeona meseji whatsapp mwanafunzi wa kidato cha pili, scolastica secondary huko Moshi amepotea anatafutwa. Taarifa ya habari ITV wameonesha amepatikana ila amekufa, na amezikwa, wamefukua...
10 Reactions
408 Replies
78K Views
Mamlaka tajwa kwa nini hamkamati school bus mbovu zinazojaza wanafunzi kama nyanya kwenye matengo, kwa kuwasaidia nitaje shule za Dar zenye tabia hiyo; 1. Olympio 2. Bunge 3. Diamond 4. St. Mary's...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Zaidi ya wanafunzi 70 wa shule za sekondari za Bujera na Mwaji wamenusurika kifo baada ya vyumba vitatu vya madarasa pamoja na jengo la maabara kuezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba nitumie fursa hii kuwatahadharisha ninyi watu wa mipango miji na wizara husika ya makazi na uendelezwaji wa miji na makazi ya raia kwa ujumla. Kumekuwa na kasi ya ununuzi wa viwanja...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamvi,naomba mwenye template ya bills of Quantity kwa ajili ya ujenzi wa nyumba. Itapendeza zaidi kama itakuwa na mfano yaani ikiwa na contents zake. Mimi siyo mtaalamu wa mambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hii ni ramani ya bagamoyo inayoonyesha mgawanyiko wa hali ya udongo na umahsusi wa udongo kwa ajili ya uzalishaji wa kundi fulani la mazao. Hii ramani ni moja kati ya nyingi zilizoandaliwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu salamu zangu kwenu. Wengi wetu tunafahamu kuwa Tanzania iliingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na kufanyika kwa uchaguzi mkuu ukishirikisha vingi mwaka 1995. Kama ulivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nisiende na story Nimerushiwa 2000 na wakala, ikaingia meseji kua wamenipa airtime bonus ya 3000 na salio wakalilamba lote eti jimelipa deni.... nikapanick nikapiga CC akapokea mdada mmoja...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wenzangu Nimejikusanya kwa miaka kadhaa uku singapore ,ila nataka this December nikiwa likizo nijenge nyumbani bukoba Nyumba ya vyumba vinne na bathrooms 2 yaan kwa kifupi Vipimo...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
Je, wajua? #Rwanda wana mfumo bora wa afya kuliko Marekani & nchi nyingi zilizoendelea ambapo wanyarwanda 90% wana bima ya afya ikilinganishwa na 88.7% ya wamarekani. Ni haki kwa kila mnyarwanda...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nataka kwenda singida hapo kesho..je..kwa nauli yang ya tsh 20000/= Nitapata basi gani la kusafili nalo
1 Reactions
47 Replies
13K Views
Kama Uhuru alikubali kutii sheria za mahakama kwa kufuta ushindi wake na kukubali uchaguzi the Same to Odinga inabidi naye akubali maamuzi ya mahakama na sio kusumbua Jirani zetu Wakenya. Nasikia...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Yaaaniii n gari kadhaa zinasimamishwa na traffic Baadae unaonaa wanaingia kwenye gari wanatoka gari linaendelea na safari Jamboo hil linafanyika bila hofu kabisa tuwe bas na hofu ya Mungu...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Naskiliza Radio hapa ndani ya MWENDOKASI, mtangazaji wa AE, anaizungumzia Korea Kaskazini. Anasema KK kule hakuna huduma ya "international calls" simu za kutoka! Pia akeandelea kusema eti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari zenu wadau. Leo naomba kujua ukweli hasa kuhusu [wabantu] chimbuko lao na na asili ya neno WABANTU. kwa sababu inasemekana kwamba katika makabila zaid ya 120 yaliyopo Tanzania ni kabila...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Habari ya muda huu Wakati tumebaki na siku 33 kabla ya kufunga mwaka nina imani kila mmoja wetu anatafakari mwaka kesho afanye jambo gani ili aweze kupiga hatua hususani za kiuchumi katika Maisha...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
amani iwe juu yenu. leo katika pita pita zangu nimekutana na hiyo kitu hapo. Najua wikipedia ni mtandao ambao anybody can post or edit, hivyo kuufanya usiwe 100% authentic. Ila kwa bodies kubwa...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Kama ilivyo kwenye vita ya kupambana na rushwa na ufisadi, hili kwake halina mjadala, na kimsingi ni suala jema. Ni suala jema kwa sababu kodi inayokusanywa na serikali ndiyo inayotumika...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom