Ofisi ya Uhamiaji mkoani Kilimanjaro imeagiza wageni 94 wasiokuwa na kibai kuondoka mara moja nchini na kurudi endapo watakamilisha taratibu za uhamiaji
Wageni hao ni wakenya 71, Wanyarwanda 7 Msomali mmoja Waganda 2, Wakongo 7, Mnaijeria 1 na Waethiopia 5
Imetangazia wengine 23 kuwa hawaruhusiwi kuishi nchini kabisa baada ya kubainika kuwa ni wahalifu
Mkuu wa kitengo cha Uhamiaji Kilimanjaro aliwaambia waandishi wa habari kuwa operesheni ya kuwagundua wahamiaji hao ilianza mwezi Oktoba mwaka jana
Pia mamlaka hiyo imewapa vibali vya ukaazi wahamiaji wengine 3,681
================================
Moshi. The Kilimanjaro Immigration Office has ordered 94 aliens to leave Tanzania immediately and return only when they follow procedures.
They include 71 Kenyans, seven Rwandans, one Somali, two Ugandans, seven Congolese, five Ethiopians and one Nigerian.
It has declared 23 others prohibited immigrants.
Kilimanjaro Immigration head Albert Rwelamira told journalists that a crackdown was launched last October to identify illegal immigrants.
He said many of them married Tanzanians The 23 – five of them being Kenyans, one Burundian, one Ugandan, eight Ethiopians, seven Bangladesh and one Nigerian – were criminals, immigration officials disclosed.
It has also awarded 3,681 immigrants with resident identifications.
“We discovered that some immigrants entered the country in 1972 and had been living unlawfully. We sent them back to their countries and if they intend to return to Tanzania they should follow procedures.”
Source: The Citizen