Sielewi lipi la ukweli kuhusu karma

zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
10,140
21,447
Kumekuwa na imani kwamba kama utamtendea mwenzio ovu basi nawe litakupata kama si wewe bsi uzao wako wao wanaita "karma"

sasa unakuta unataka lipiza kisasi, ama mtu kakukera unataka umwoneshe video mtu anakwambia acha usifanye ivo kun " karma"

unanikataza kufanya ivo unajuaje labda yule mtu ni mwovu nami ndo nimeteuliwa kutimiza karma juu yake, mie ndo natakiwa kulipa maovu yake, ama ya ukoo wao walio fanya nyuma.Yaani nitimize karma kwako kama malipo ya uovu wa uzao wao huko nyuma.

mtu asiache tenda kisasi ama ovu kwa kuogopa karma, yawezekana ndo umeteuliwa kutimiza karma juu ya matendo maovu ya hao watu.
UDHAIFU WA BINADAMU, mtu anakufanyia ovu alafu anasema "binadamu ni dhaifu, ajakamilika' usilipize we samehe tu .

sasa kama binadamu ni dhaifu kwa nini mie kushindwa kusamehe isionekane kama ni udhaifu wangu (sijakamilika) ivo mnipe namna bora ya kulipa kisasi ama kuishi bila ya msamaha.

kama huwezi samehe lipa kisasi tu ndo udhaifu wako eeeh binadamu hatujakamilika,mtu anakufanyia ovu alafu kirahisi rahisi anakuja na habari za msamaha. mara binadamu ajakamilika hakuna iyo.
 
Mfano mzuri ni Tundu Lisu, karma imemrudia!
 
if you have done something wrong and think nothing's going to happen to you, then wait for it, it will hit you back someday. Karma is a bitch
 
Karma ipo.
Wengi wanaoua hufa kwa kuuawa. Majambazi wengi hawafikishi umri wa miaka arobaini.
Wanaodhulumu hufa vifo vya taabu sana.
 
Karma IPO ndugu malipo ni hapa hapa duniani kwa experience yangu either utubu usamehewe Na Mungu, uilipe wewe Na kizazi chako, au ufe kabla ya wakti wako.
 
sawa mie nimefanya mabaya inatakiwa nilipwe sawa na mabaya yangu

je yule atakaye kuja kunilipa(kunitendea mabaya sawa ama zaidi na yale) kwa nini nae krma imfate wakati yeye kaja kutimiza tu
 
Back
Top Bottom