Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma

Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma

Spanishboy

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
118
Reaction score
65
Si mara moja kukuta mtu akichanganya kati ya wanyama hawa wawili, Chui na Duma (Cheetah) anapowaona kwenye hifadhi mbalimbali hapa nchini. leo nimeona nilete kwako tofauti zako ili usiendelee kuwachanganya tena. Kupitia picha na maelezo machache yafutayo utaweza kujifunza kitu.
Chui, naamini kabisa kwa kuangalia picha hii unaweza kubaini alama katika madoa yake mwilini

Picha hii pia inatosha kubaini madoa ya duma na umbo lake.


Dondoo:
Chui anaumbo nene na lenye ukakamavu, kwa kuwa ameumbwa kutumia nguvu zaidi katika shughuli zake wakati Duma anaumbo jembamba na refu kwa ajili ya kasi kubwa wakati wa kukimbia.


Chui hufanya mawindo yake nyakati za usiku zaidi wakati Duma yeye huona vizuri zaidi mchana kuliko usiku hivyo uwindaji kwake ni mchana zaidi.

Inaendelea...Kwa undani: Zifahamu tofauti kati ya Chui na Duma - Tabianchi
 
Spanishboy ilishawahi kujadiliwa humu

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/278193-msaada-wenu-please.html

.
Bigbro

Top 10 Major Differences Between Cheetahs & Leopards


Overview



  • [*=left]- Leopards have rosette-shaped spots. Cheetahs have solid round, or oval, spots.

    [*=left]- Leopards have no "tear" line. Cheetahs have a black "tear" line running from the inside of the eye to the mouth.

    [*=left]- Leopards are bulkier and stronger. Cheetahs are lighter, but taller, than leopards.

    [*=left]- Leopards have a familiar "cat" shape. Cheetahs are lankier than the "cat" shape.

    [*=left]- Leopards hunt at night. Cheetahs hunt during the day.- Leopards like to drag prey up trees. Cheetahs prefer grassy plains.

    [*=left]- Leopards rely on stealth. Cheetahs rely on speed (up to 113 km/hr) over short distances. They are the world's fastest animal.

    [*=left]- Leopards have strong teeth and jaws and can crunch through thick bones.

    [*=left]- Cheetahs have smaller teeth and jaws, leaving a larger nasal cavity for rapid breathing. Theycannot crunch large bones.

    [*=left]- Leopards live a solitary life while cheetahs are more social (mother and cubs; males sometimes form coalitions, yet they never mix with females; except during reproduction).

    [*=left]- Leopards climb trees for they have retractile claws while cheetahs don't.

    [*=left]- The cheetah can run at a speed of 113 km/hr while leopards do 60 km/hr.

    [*=left]- The two black lines below the cheetah's eyes are known as tear marks, and act as reflection absorbers while they are hunting during sunny days.



Cheetah Vs Leopard: Top 10 Major Differences

1. Behavior

Cheetah: Females are solitary (except when raising cubs). Males sometimes form coalitions of 2-3 individuals. The species is generally not dangerous to man; flees when encountered on foot.May be aggressive when raised under captive conditions. Should always be handled with care!
Morkel_Erasmus_South_Africa_Kgalagadi_Transfrontier_Park_Cheetah_on_Ridge.jpg
Leopard: Both sexes are shy and isolated creatures. Relatively aggressive, especially when cornered or disturbed.
Gerry-van-der-Walt-Madikwe-SouthAfrica-LeopardScene_1.jpg
2. Body

Tall and slender for the cheetah, more compact and muscular for the leopard. The cheetah is built for speed whereas the leopard needs more muscle power to drag its prey up into trees.

3. Claws


Cheetah: Semiretractable, which enables them to get a firmer grip on the ground (for speed).
Leopard: Retractable, like most cats. Ideal when climbing trees or catching prey.
LEOPARD_CLAW.jpg
4. Habitat

Cheetah: Mainly savannah grasslands and plains. Often sit on termite mounds or small hills from which they scan the horizon for potential prey.Good places to see them include Serengeti NP, Etosha or the Masai Mara Reserve, where animal stock is abundant.

Leopard
: The most widespread wild feline. It can be found in most habitats, from dense woodlands to savannahs, mountains and desert regions.



5. Head


Cheetah: Small and well-rounded, with distinctive "tear-stains" that run from the inner corner of the eye to the corner of the mouth.


Cheetah-close-up.jpg

Leopard
: More elongated with dark spots on the muzzle.


Leopard.jpg

6. Hunting Technique


The cheetah runs after its prey, tackles it from behind to knock it off balance, and goes for the throat.

Leopards
prefer to ambush their prey from a shorter distance (5-20 yards). They pounce on their victim, taking it completely by surprise.


leopard-serengeti-0081.jpg


7. Legs


Cheetah: Long for effective acceleration.

Leopard
: Short and muscular for agility and tree-climbing.



8. Speed


The cheetah is the fastest land mammal in the world, reaching speeds of up to 113 kph (70 mph). It uses its long tail as a rudder and for proper balance.
Running-cheetah.jpg
Leopards are not necessarily known for their speed, although they can accelerate to 37 mph (60 km/h) over short distances.


9. Spots


Cheetah: Small, solid black spots.


Cheetah-spots.jpg


Leopard
: Spots grouped in small rings (rosettes) on torso and upper limbs.


Leopard-at-night.jpg


10. Voice


Cheetah: Chirps and yelps.

Leopard
: Roars and growls.


 
Last edited by a moderator:
je hao wanyama wanaweza kuzaa pamoja? (duma kuzaa na chui?)

Jibu ni No.

VOICE OF MTWARA First of all, cheetahs and leopards are very distantly related. Cheetahs are more closely related to pumas and jaguarundis, while leopards are related to lions, tigers and jaguars.

Cheetahs are not closely related to leopards and occupy a genus classification by themselves so they would not be able to interbreed with any other species of cat. Unless two different species occupy the same genus, they are unable to breed. It is why lion/tiger etc matings are possible - because they all belong to the genus panthera.

Lakini usijeukajichanganya kwa King Cheetah. However this is a result of a genetic abnormality within the cheetah and not a cross bred animal.


DSC01415.jpg


normal-and-king-cheetahs.jpg


Different coats on the normal and king cheetahs are due to genetic differences. The king cheetah is on the right, with stripes.


cheetah-pair.jpg
 
sorry kwa kutoka nje ya mada. inaonesha mnawajua wanyama vema. swali lingfine ni je nyati(buffalo) anaweza zaa na ng"ombe?
 
safi sana Dotworld, inaonesha uliweka mada ya uchokozi. na umechokozwa kiasi. Hongera kiongozi
 
Ningeomba kujulishwa tofauti ziliyopo kati ya wanyama hawa wawili;

CHUI NA DUMA.

NA JE HUYO DUMA NDO TIGER AU CHEETAH?

Au kuna tofauti nyingine tena kati ya Tiger na Cheetah?

Kwa msaada zaidi pia ningeomba kujulishwa Classification zao kuanzia;
Kingdom
Phylum
Class
Order
Family
Genus and
Species

Ntashukuru kwa msaada wenu.

Karibuni
 
CHUI-LEOPARD


View attachment 435663

Ana umbo nene na lenye madoa ya mviringo ni mnyama anayewinda kimya kimya kwa kunyatia.

DUMA-CHEETER

Ni aina ya jamii ya paka, mwenye ngozi ya manjano inayoelekea kwenye rangi ya udongo iliyopambwa kwa madoa meusi. Ndiye mnyama anayekimbia kwa mwendo kasi zaidi kuliko wanyama wengine wote watembeao hukimbia kilometa 113 kwa saa.

View attachment 435664

TIGER-SIMBA MARARA

Huyu ni jamii ya Simba na sio chui kama wengi wazaniavyo, Anaitwa Simba marara kutokana na ile milia yake inavyoonekana na Ana nguvu na Speed kuliko Simba wa kawaida.
 
Ndg chui ni mfupi, na makazi yake asilimia kubwa ni juu ya miti hii niliona ngorongoro. Duma in English Cheater huyu ni mrefu ,na mwembamba kidogo na ndie myama anaekimbia speed kubwa kuliko wote. hukimbia KLM 100 kwa SAA moja. Tiger huyu ni mnene ana miraba karibu kama pundamilia ana hasira sana huyu hupigana na simba huweza hata kupata point katika mapambano hayo .
 
CHUI-LEOPARD


View attachment 435663

Ana umbo nene na lenye madoa ya mviringo ni mnyama anayewinda kimya kimya kwa kunyatia.

DUMA-CHEETER

Ni aina ya jamii ya paka, mwenye ngozi ya manjano inayoelekea kwenye rangi ya udongo iliyopambwa kwa madoa meusi. Ndiye mnyama anayekimbia kwa mwendo kasi zaidi kuliko wanyama wengine wote watembeao hukimbia kilometa 113 kwa saa.

View attachment 435664

TIGER-SIMBA MARARA

Huyu ni jamii ya Simba na sio chui kama wengi wazaniavyo, Anaitwa Simba marara kutokana na ile milia yake inavyoonekana na Ana nguvu na Speed kuliko Simba wa kawaida.
Pamoja na kwamba Tiger Ana nguvu na Speed kuliko Simba, lakini wakikutana na Simba, Tiger anachapwa mpaka kifo!
 
Back
Top Bottom