Tatu mzuka na makampuni ya simu za mikononi wana ubia au ?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wana jamnvi

Kwanini hawa wenye makampuni kama ya TATU MZUKA... wameshindwa kuwa na link ya kulipia hela ya kucheza bila ya kupitia mitandao ya simu, maana ukilipia kwenda TATU MZUKA... lazima mtandao wa simu uchukue chake hivyo hufanya pesa kulika sana, ingekuwa rahisii endapo tungeweza kulipia kwenda tatu mzuka moja kwa moja mfano kama bet za mpira zinazo tumia machine maalum, maana kila unapotuma hata 500 mtandao wa simu unakata chake unakuta hela inalika nyingi zaidi. Itapendeza zaidi endapo tutacheza bilaya kukatwa gharama na mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom