Chama cha kambare

Chama cha kambare

vous

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
657
Reaction score
649
Chama hakijulkan nan kapewa ridhaa ya kuwa msemaj wa chama
Kila mtu anatafuta pa kupatia kiki ili asipotee ktk kpnd hiki cha uncle Magu
Kila mtu anataka kusemea jambo

Mwenzao kapata zali la kuingia whitehouse basi wao wamemaind wamesahau kuwa kipind cha "rais dhaifu" walkunywa gahawa sana na sharubati mjengon

Mwenzao kusifia imekuwa tabu eti angewashirikisha viongozi wa chama kwanza ilhal kwny kwny kukosoa haihitaj kuwashirikisha viongozi wa chama

Hao hao wanaosema chama chao kina heshim mising ya demokrasia na uhuru wa kutoa maon ndo hao hao wanaomuona mamvi kazingua kumsifia uncle magu

Kwao wao demokrasia na uhuru wa kutoa maon n kukosoa,kuzodoa,kudhihak,kufedhehesha,kutukana

Waliyemuita fisad kawa rais wa mioyo ya watanzania
Waliyemuita mzee mwenye hekima na busara,mjuz wa demokrasia tanzania leo kawa msaliti,mdhalilishaj n k


Chama cha kambare
 
Back
Top Bottom