Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanawake wanaendesha malori, mabasi, treni na ndege, ni makondakta wa daladala na shughuli nyingine ambazo awali zilidhaniwa kuwa zinawafaa wanaume pekee. Kazi pekee inayoonekana pengine kuwa...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Ameita wana habari ngoja tusikie atasema nini, usiende mbali nitawaletea kinachoendelea, ...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
CCM ni chama chenye dhamana kubwa katika historia ya Taifa letu. Iweje Mkakati wa kujenga chama,zitumike mbinu duni za kijima,zisizo na ubunifu zenye lengo ovu kubomoa umoja na ustawi wa taifa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilikuwa ni ibada maalum ya maombi na maombezi usharika wa Magomeni mviringo. Mchungaji (sikupata jina lake lakini sio Kiporoza) alikemea kwa jina la Yesu wale wanaotamanani watu waishi kama...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Dua Zenu Jf Nimezingirwa Na Yange Yange Hapa Kosa Kopi Ya Leseni Origional Nimeisahau Home Totoo Nyeupe Ya Kipare Imenuna Tuna Nusu Robo Saa Dua Zenu Great Thinkers.Discovery Inanguruma Pembeni Ya...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari wana jamvi napenda kujua ni wapi naweza kupata list ya kesi zilizoamuliwa hasa kuanzia 2010 to current nimepata website moja SAFLII Home | SAFLII lakini zinaishia 2009. Nitashukuru wazoefu...
1 Reactions
2 Replies
956 Views
Kama wewe Ni mfugaji Wa kuku Wa kizungu na Una mayai na makazi,yako Ni Dar es salaam Mimi nanunua mayai Njoo hapa tufanye biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumnunua binadamu yoyote kwa sababu zozote zile haikubaliki na ni udhalilishaji wa kiwango cha juu sana . Kama UMOJA WA MATAIFA ulivyolivalia njuga suala hili nchini Libya , basi si vibaya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
KATIKA WANASIASA WANAOHAMA VYAMA LIPO ENEO LA KUKUPA TABASAMU Julai 29, 2005, Rais wa Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, alihutubia kwa mara ya mwisho Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
1 Reactions
1 Replies
802 Views
Waafrika tusipokuwa makini wazungu badala ya kuja kutalii kwa kuangalia wanyama, wazungu watakuja kutalii kwa kutuangalia ss waafrika je ni wanyama au ni watu?maana waafrika wanafanya mambo ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayefahamu njia ya kuzuia panya kuingia kwenye engine ya Gari naomba msaada wake tafadhari, Nimeshatumia powder za aina zoote still bado huyo panya anaingia katika engine na kukata nyaya.
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Bibi wa mwanafunzi wa darasa la tano anayesoma Shule ya Msingi Kilimanjaro wilayani Moshi, Costansia Lyimo amesema si mara ya kwanza kuwaadhibu wajukuu zake. Bibi huyo aliagiza mjukuu wake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapinzani walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo. Hao viongozi wamewekwa na watu. Hao watu waliowaweka ndio wapinzani. Akiondoka mmoja watamchagua mwingine lkn watabaki kuwa wapinzani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hate or love them, hawa ccm hawana aibu sote twajua,wananunua kwa pesa,wanatumia nguvu na vitisho kufanikisha wanalotaka Ila kwa hili la watu kurudi kwao especially kwenye issue ya mbunge wa Cuf...
15 Reactions
48 Replies
5K Views
Habar zenu wakuu, Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani Awe dodoma Kama yupo ani PM tafadhali..!! Ahsanteni..!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni mfanya biashara mwenye chini ya miaka 25 kwa sasa biashara zangu zinaenda tu fresh ukizangatia na saizi wafanyabiashara...
4 Reactions
175 Replies
15K Views
Hi great thinkers Jana jioni katika kijiwe na babu Fulani akatupa historia yake jinsi alivyo sababisha vifo vya watu 23 kijijini kwao. Babu alituambia kuwa aliwekewa zindiko hilo Pangani Tanga...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Imeelezwa kuwa wanawake waliokeketwa wanapojamiiana na mwathirika wa virusi vya UKIMWI (VVU) huwa katika hatari ya kupata maambukizi kwa asilimia 99 kuliko ambao hawajakeketwa. Meneja wa Mradi wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kila nisimamapo mbele ya newspaper stand kukodolea vichwa vya habari nakumbwa na nostalgia. Nahisi maumivu ya kukosa kitu fulani cha kulisha nafsi na akili yangu nilichokizoea huko nyuma. Vichwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna matatizo makubwa sana katika mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira SUWASA Rukwa. Sisi wananchi kukosa mita za maji kutokana na ubadhirifu mkubwa ndani ya mamlaka, nasikia hata...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…