mzee mbona una tetemeka sana katk kuandika leo... kuna nini?Wewe ngangamala hapohapo,utamjua tu.
Biashara ya kununua watu haikubaliki kabisaBishara ya utumwa shuruti ikomeshwe
Nimepata ule ugonjwa wa mheshimiwa,wanauita Parkinson nadhani.mzee mbona una tetemeka sana katk kuandika leo... kuna nini?
Ngangamala
hivi pundaa
Hahahahaaa!Au una "fulatsesheni" zako?Nimepata ule ugonjwa wa mheshimiwa,wanauita Parkinson nadhani.
[emoji23][emoji23][HASHTAG]#punda[/HASHTAG]
Tanzania tulikataa utumwa wa kuuza na kununua watu
CCM wanaurudisha kwa kasi
Hao wanaonunuliwa na akili zao ziko selo au?Tanzania tulikataa utumwa wa kuuza na kununua watu
CCM wanaurudisha kwa kasi
Dada yako anaitwa Juma?Huyu dada kimario anafanya kazi gani?