Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
Kumnunua binadamu yoyote kwa sababu zozote zile haikubaliki na ni udhalilishaji wa kiwango cha juu sana .
Kama UMOJA WA MATAIFA ulivyolivalia njuga suala hili nchini Libya , basi si vibaya ikaangalia nchini Tanzania pia , upo ushahidi kwamba kuna mazingira ya kununuliwa kwa baadhi ya binadamu hasa wanasiasa nchi Tanzania , kwa kadiri ninavyofahamu mtu yeyote anayekubali kununuliwa ni sawa na Mtumwa .
Ni matumaini yangu UN italishughulikia jambo hili linalofedhehesha utu wa Mtanzania.
Natanguliza shukrani .